Nilipokuwa mdogo nilifikiri kuwa wanawake ni wapole, waliojaa huruma, lakini haya kwa 90% yamepotea kwa kadri ninavyoishi. Nimekuja gundua wanawake wanaongoza kwa manyanyaso na mateso kwa ktk jamii zetu wanapopata wasaa!
hii inaonekana majumbani, mama kuchukia watoto wa mwanamke mwezie, maofisini vurugu tupu, kwa kifupi wengi wao ni makatili sana. Naomba mnisaidie hivi haya yanatoka wapi?
Si ushasema yanatoka kwa mwanamke......... Sasa yanatoka wapi vipi?!
Hongera kwa kujibu baada ya miaka 10.Watoto wa mwanamke mwenzie!