Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,753
Ila kul kenya huwa husema kuwa watoto n wamama tofaut na huku kwet bongoIshu sio mkenya mnigeria mzigua msabato wala mnini tabia ya mtu ni matokea ya ukuaji wake,malezi na maamuzi binafsi.
Toa mnyakyusa kk watu poa sanaMzigua, Mdigo, Mnyaturu, Mbondei, Mmbugua, Mkurya, Mgita, mmbondei, Mnyakyusa, Msukuma koooote huko ukaenda kabisa huko +254?
Kwani hapo nimeandika sio poa?Toa mnyakyusa kk watu poa sana
Labda sikuelewa vizuri. Unamaanisha wanazingua au wapo safiKwani hapo nimeandika sio poa?
watoe wanyaturu kwenye list wapo romantic sanaMzigua, Mdigo, Mnyaturu, Mbondei, Mmbugua, Mkurya, Mgita, mmbondei, Mnyakyusa, Msukuma koooote huko ukaenda kabisa huko +254?
Bora hata 256 kulk 254 hawafai kabisaWakenya wako romantic sana, sema mabandidu sasa.
Daah maganda mshamba kisenge usijaribuš. Alaf maoga bora hata wabongoBora hata 256 kulk 254 hawafai kabisa
we msiha kaka ?Tuliopo Siha West Kilimanjaro Tujuane Pia Tutulie Kimya Tuendelee
Daah maganda mshamba kisenge usijaribu
Tukutane Kijijini Namwaiwe msiha kaka ?
Hiyo ni force , utakuja kuchokaUkitaka kuishi vizuri na mwanamke yeyote wa kizazi hichi inatakiwa uwe na MZIGO aka MPUNGA.