wadada wabaya ndo hutongoza wanaume

The Boss umependeza!!!! na shati lako limekukaa vizuri kweli, ila kola hujaiweka vizuri,..... naomba nikurekebisha kola!!! unanukia vizuri sana, unatumia perfume aina gani? :smile::smile::smile:

mnhh upo we mtoto?
sikuoni...
 
mnhh upo we mtoto?
sikuoni...

Mbona umeuna ? nilikuwa nawaelekeza jinsi ya kuanza kumtongoza mwanaume, sisi wanawake huwa hatusemi, ila vitendo vinaeleweka.
 
Mbona umeuna ? nilikuwa nawaelekeza jinsi ya kuanza kumtongoza mwanaume, sisi wanawake huwa hatusemi, ila vitendo vinaeleweka.

Nimenuna sababu sipati pm zako lol
unanitongoza hapa tu, pm sioni kipaji chako cha kutongoza lol
 
Nimenuna sababu sipati pm zako lol
unanitongoza hapa tu, pm sioni kipaji chako cha kutongoza lol

Tatizo nilikuomba unifundishe jinsi ya kutumia PM ukakataa, unaona sasa nakutongoza hadharani? ungenifundisha haya yote tasingetokea. U mzima wewe lakini?
 
Tatizo nilikuomba unifundishe jinsi ya kutumia PM ukakataa, unaona sasa nakutongoza hadharani? ungenifundisha haya yote tasingetokea. U mzima wewe lakini?

mi sio mzima
nasubiri pm yako still
ntamwambia snowhite akufundishe kutuma pm
ili hiki kipaji chako nikifurahie in privacy
 
Last edited by a moderator:

JF yani haiishi vituko.
Mkuu wewe ulitaka kutujulisha kwamba nawe umetongozwa.
 
Ndege wanaofanana huruka pamoja.
Kama wamechoka na ww inawezekana umechoka ndo wamemfata ndege mwenzao
 
Si kweli. Alhamisi iliyopita mbona mimi nilitongozwa na dada mmoja mzuri sana pale Calabash Mwenge? Labda useme tabia ya mtu tu ila sura na shape hazitoi jibu la moja kwa moja kwa mtongozaji wa kike

HUYO ALIKUWA NI SAIZI YAKE.mkuu kumbe na wewe ni mdau wape calabash?tutafutane siku moja huwa kila ijumaa na jmos sikosi kuwa pale,vyombo + bendi taratiiibu siku inaenda poa
 
Wayne where are you!!!!!

kam zis wei please............

I am here baby

Ni ngumu kuilezea, lkn nitajaribu....

Sikubaliani na mawazo yaliyotolewa hapo na wengine.....ninao uzoefu....tangu balehe yangu ya kwanza.... nimetokewa mara tatu....mara mbili kwenye utu uzima wangu....

Mama sura kapewa, umbo la kawaida wowowo la kufungia kitenge/kanga lipo, shule LLM, kuna wakati mnajadili/mnabishana world politics mpaka raha, mama anatangulia serena anakueleza yupo room gani....pesa yakutosha....rambirambi ya msiba 1,000,000 hapo amekuja ofisini kwako ameambiwa haupo ofisini umefiwa, unapata ujumbe wa MPESA .....

unapata wasiwasi na afya yake.....anakwenda regency analeta vipimo safiii....unajiuliza huyu anatakana nini?...sijapata jibu

hahaaa si ndio maana nikakuita....maana najua hii kitu waijua vizuri sana lol..........

hahaa watu na bahati zenu bana....hasa hapo kwenye blue unakaa ujiulize haupati jibu hata
 
HUYO ALIKUWA NI SAIZI YAKE.mkuu kumbe na wewe ni mdau wape calabash?tutafutane siku moja huwa kila ijumaa na jmos sikosi kuwa pale,vyombo + bendi taratiiibu siku inaenda poa

Nimetoka kidogo nje ya mji mkuu ila Mungu akipenda nitarejea mwisho wa Oktoba kaka, pale mimi ni nyumbani aisee. Ukiweka vyombo ijumaa au alhamisi na kale kamziki pale aaaah si haba! Huwa sioni sababu ya kwenda ulaya kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…