wadada wabaya ndo hutongoza wanaume

kweli mkuu nmewahi tongozwa na.mademu karibu 4 woote ni wabayaaaa...
 
Mi nimependa ulivyoanza tu basi. Ule mwanzo tu umenifanya niisome thread nzimaaaaaaaaaaaaaaa
 
hapo sijazungumzia wanaotumia viashiria, nasema wale wanaokuita na kukutamkia kabisa 'kaka nimekupenda yaani sijielewi'. hao wanaotengeneza maziwa uwatongoze nimewaona kibao.
 

Kweli kabisa, hapo kwenye bold.
 
Last edited by a moderator:

Kumbe, ndo maana!!
 
wanawake msiojua kutongoza jifunze. Hawana maumivu kabisa hasa pale unapomwacha au kuachwa. unasonga mbele.
 
sio kweli!
Hyo ni kwako tu
Btw,uzuri wa mtu upo machoni pa mtu
 
ASA zimwi AF itongozwe na visu? Pole km haijakutokea inaonekana huna chcht cha kuwafanya wavutike nawe, ht bodaboda huna?
ha ha ha ha...., inawezekana ni kweli. wanaogopa huo mdomo wangu nin!
 
WewEeeeeee oooohOoooo, toka ujitambue ni mwanaume ulishasifiwa n mzuri???? Uctafute kujiaibisha kwa watu wanaokufaham utachekwaaaaaa,,waliokutongoza ndo saizi yako kaka upoo????
Mnamatch ndo maana akaona unamfaa.....usitafute makuu akati kutongoza hujui!!!


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
wakati unasema wa nin, mwenzio anasema atakipata lini...watch out!
 
dem kunitongoza wala si jambo la ajabu, namshangaa mtoa uzi huu. Kwanza hakuna mwanamke mbaya; unayemuona mbaya kuna mwingine anasema atampata vipi. Wanawake nawapendeni wote ila ku-do ndo nakuwa selective
 
ha ha ha..., kiukweli mim wa kawaida tu. sio handsome kivile. ila hapa sizungumzii wale wanaotengeneza mazingira ya kutongozwa, nazungumzia wale wanakuita na kukupa sound kabisa, ushauri wako nimeuchukua kaka
 
...hapo nilipobold...KILA SHETANI NA MBUYU WAKE.....unaendana nao hao!!!
 
Si kweli. Alhamisi iliyopita mbona mimi nilitongozwa na dada mmoja mzuri sana pale Calabash Mwenge? Labda useme tabia ya mtu tu ila sura na shape hazitoi jibu la moja kwa moja kwa mtongozaji wa kike
ha ha ha ha..., sasa hapo bro si unazungumzia machangudoa.. hao wanakutongoza mpaka anakushika mkono mka du..,
 
sio kwamba sijui kutongoza, ninae wangu ambaye nimmtongoza mwenyewe!. ninachosema ni kwamba pamoja kusema haki sawa kwa wote na wadada wanasema wanaanza kutongoza wanaume, wanaojaribu ni wale wabaya wabaya ambao hawatongozwi sana na wanaume, kiufupi waliojikatia tamaa ndo wanafunguka kwa wanaume wanaowatamani.
 
Wanawake wote wanatongoza
isipokuwa wengi hawatongozi kwa kusema kwa mdomo,
vitendo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…