Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,223
- 27,061
[emoji276] [emoji276] [emoji276]Habari wakuu, poleni kwa majukumu ya kuendelea kuelimishana na kuburudishana.
Nina swali Leo, Hivi hawa wadada wa saloon wanafanya kazi ngapi , maana hizi kauli za "Ukihitaji massage pia nafanya", cha ajabu saloon haina sehemu ya massage , ni nini hiki , mbona naona mazigazi.....
Hii huduma mbona TRA kama hawajaiona waanze kukata kodi!
Ndio MKuu.Hiyo itakuwa dini mpya
kumbe ulikua unataka support ya kufanyiwa massage, massage njema usisahau dawa ya penziNgoja nijaribu , ila na wewe utakuwa umeshiriki
Dawa ya penzi ndio ninikumbe ulikua unataka support ya kufanyiwa massage, massage njema usisahau dawa ya penzi
zana, ndomDawa ya penzi ndio nini
Hivi hii kitu inaoigwa vita na Imani zote , so bora kujiamini kuwa sitafanyazana, ndom
Sasa si kufanyiwa massage iyo Ndom ya nini tenazana, ndom
Yale mafuta yake pia yanatumika kwenye massage aende nazo tu ataonaSasa si kufanyiwa massage iyo Ndom ya nini tena
Mbona police Wateja wao siku nyingi?Mkuu hapa naona POLISI waanze kujifanya wateja