Before sijaingia kwenye topic ya wadada kwa wale wanaokumbuka nilileta habari iliyojitokeza live ya jamaa yangu ngosha kukuta no kwenye cm ya best yake ameseviwa kimahaba na kuleta sintofshamu niliwaahidi nitawajulisha mwisho wake,kwa masikitiko makubwa ile ndoa imevunjika.
Back to our topic,hii naomba tuliweke sawa naona inazidi kukua hii tabia,najua wapo wadada wanaomiliki magari yao hii hainipi shida,shida kwangu ni wale wadada wanaoshobokea wenye magari,imekua fashion mwanaume ukimiliki usafiri wako wadada hawakupi tabu kuwapata why?au ndo ugonjwa wenu tena coz vijana nowdays wanajua bila gari kuchukua wadada wazuri issue,mnawapa shida vijana wanakopa hela wananunua magari sababu ni nyie tunaelekea wapi?