Wadada wa kitanga wanajiamini kwenye mapenzi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,283
Reaction score
55,886
Kuna siku moja nilienda kutembelea mkoa wa Tanga, sasa ile mida ya jioni by saa moja hivi usiku nikasema ngoja nitembee tembee kwa miguu ili niweze kuufahamu mji vizuri. Katika mizunguko yangu nikavutiwa na duka moja linauza vitu mbalimbali, nguo, viatu, mapambo ya wanawake, marashi ya kujifukiza n.k.

Nilipoingia mle dukani huku nikiwa najaribu kuangalia vinavyonivutia...akatokea mdada, kwa wastani anaweza kuwa na miaka 30+ hivi, mimi nikawa niko bize na mambo yangu. Sasa yule mdada akawa anamwongelesha yule muuzaji mambo ya mahaba lakini nadhani alikuwa anataka nami nisikie anachoongea.

Akawa anasema...'mimi nina hamu kweli ya mwanaume, hata kama ana mke, mimi niko tayari niwe hata mke wa sita...nimpe vitu adimu', mi kusikia neno adimu mnara ukashtuka, ikabidi nimtazame ...nami nikamuuliza, mziki utauweza?. Akaangua kicheko cha kimahaba huku akitikisa mwili(lugha ya mwili), akajibu, 'jaribu uone yaliyomo'.

Baada ya kusema vile ilibidi nicheke tu, mbaya zaidi yule muuzaji alikuwa yuko kimya tu anaendelea na shughuli zake, ndipo wazo moja likaniijia kichwani niondoke hapo....Nilihofia ningeendelea kukaza ningemla kimasihara na baadaye ingekuwa tatizo kwa familia yangu.
 
Weka picha wengine hatujui kusoma ebooh..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom