Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,008
- 142,671
Hata wakaka hakuna, ni mimi na family. Kazi zote nafanya mwenyewe. Mtoto anashinda shule ya watoto hadi jioni. Nikitoka kazi namchukua, maisha yanaendelea.
Kwani unadhani Mungu mjinga kuwaumba watu katika madaraja?????? ndio maana kuna walio maofisini ambao watahitaji wasaidizi nyumbani, yeye anatumia nguvu zake kunifanyia kazi zangu na kunilelea, mimi natumia hela yangu niliyomtumikia boss wangi kumlipa yeye. hapo unasemaje??
Bahati mbaya sana ni mtu nisiyeamini katika classes. Najua kuna walianza kuamini kwa uwepo wa madaraja hayo ukianzia na akina Plato . Lakini kwa sababu nao wamejitambua ndio maana wanapinga hilo kwa kutesa watoto
Najua utakuja kuwa baba japo zaidi naona utajitahidi kuoa mama wa nyumbani.
Nilishaoa siku nyingi
Sasa kama umeoa hapo kipya nini katika kuwa na house girl?????? au umeoa mama wa nyumbani hivo hujui kuwa kuna watu wanauhitaji wa ma house girl sio kwa mapenzi yao ila hali inawalazimu kuwa nao.
Mke wangu ana masters degree usimchukulie poa
Nini masters ili hali tunazungumzia PHD siku hizi.
Wiki iliyópita imenibidi nimrudishe kwao kwa kumshtukiza yaani bila kuwambia maana nliona kwa miez 8 tuliekaa nae alikuwa amebadilika sana. Alianza kuonyesha kachuki na kiburi kwa mke wangu huku akionekana kunichangamkia kuliko kawaida na vituko vya kunitega vya hapa na pale. Ilinkera sana, nikakubaliana na mke wangu tumwondoe kwa sabcu ya kiburi na dharau japo sikumwambia vitimbwi kadhaa nlivofanyiwa kwa hofu ya kisasi kutoka kwa mke wangu kwa binti yule. Angalizo: akina baba tuwe makini na wadada wa ndani kwani usipo chukua hatua mapema waweza kuliswa limbwata na kuharibu familia yako .
Nini masters ili hali tunazungumzia PHD siku hizi.
Kwa hiyo mtoto nitakuwa naenda nae ofisini???? kazi zenyewe kwa muhindi kuingia saa 12 asubuhi, kutoka saa 22 usiku.
si rahisi kama unavyosema, mimi ni mzazi naijua hiyo dhahama kaka, bora kusubiri mmoja ajitambue ili awe mlinzi wa mwenzie.
Wewe unazo ngapi mpaka bado unafananya kazi kwa wahindi ?[/QUOTE
Ha hahaha, maskiniii weee!!! unaishi kwa kukariri. anyway haraka sana nimejua umri wako mweeee!
Yaani kweli utashi wako hapo ndio ndio mwisho?????? kwa style hii na wanafunzi wenyewe ndio wewe kwa kweli walimu wasikuhizi wana kazi sana.
Huyo mwenzake akijitambua siatakuwa shule? atamlinda saangapi.
Kwani prof anakuwa na nini kama co PhDNayo ni elimu kubwa ukilinganisha na wasiokuwa nayo, PhD pia sio issue kwa Prof, hivo usiidharau.
Kwani prof anakuwa na nini kama co PhD
Atamlinda jioni akitoka shule, ndani ya mwaka wote wanaenda shule.
Kwahiyo kuanzia asubui hadi hiyo jioni atakuwa salama sio.