Umuzukuru
JF-Expert Member
- May 30, 2019
- 624
- 562
Ombi kwenu wadada wa humu jf
Kuweni wachangamfu majukwaani huko mkijiachia(sio sanaaaa)
Fungueni pm zenu Ili kuimarisha mizizi ya ujiran mwema si mjua Tena😊😊😊😊😊😊😊
Muwe munapost hata tupost twa kijinga. Tutasoma tu msijali
Nyie na sisi Ni Kitu kimoja tusiogopane 👫👫👫👫👫
Nawasilisha
Uzi teyari