wadada wa chuo ringeni tu

heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
Ningekuwa na namba yako ya simu ningekupigia muda mkuu nimependa hii comment yako
Skuizi jf tunaiogopa zaidi ya ukoma mkuu, maana hizi namba ndio zilisababisha picha za watu zikatupiwa humu jamvini...teh
 
Wadada wa chuo kwa Uzi huu mjifunze , nyie ni wa kawaida tu
 
Du wa chuo anatumia hela mangi, manz anataka kulelewa kama mtoto kila anacholilia apate kwa wakati.πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† usishangae kununulishwa Iphone ya 2m wewe ukiwa na Tecno ya laki na 50.

Ni hali ya hewa tu.
 
Acha kutulalamikia. Kama ametapeliwa kimapenzi aende kwa Paul Makonda ataweza kumsaidia.

Cc Marianah
 

Yaani kwanza hawa hawatakiwi kuturingia kabisa....watu wenyewe wengi walishatolewa bikra kwenye migomba huko
 
You dont deserve me

Alisikika mdada mmoja akinijibu hivyo, nami nikakaa pembeni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…