Ila wakuu mnahonga saana aseeh...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumiliki sista du wa chuo ni sawa na kumiliki VX V8...lazma uwe vizuri maana deile unakata pochi nene.
Sasa kama umezoea videmu vya mtaani level za passo mafuta ya 10,000 unamaliza mji kaa kwa kutulia babaali.[emoji38][emoji38][emoji38]
https://www.jamiiforums.com/threads/wadada-wa-chuo-ringeni-tu.1622494/Maskini jomoniii umeandika kwa jazba mpaka nimejihisi vibaya,ni kawaida hiyo chuo soko ni kubwa sana,subiri amalize unaweza tafutwa wewe kama shilingi ya mkoloni,.
Pole ee😂
Aahahah Hii "pole" yako, sijaielewa mamy!! Ni umetoa pole as pole?? Au umevunjika mbavu??.Maskini jomoniii umeandika kwa jazba mpaka nimejihisi vibaya,ni kawaida hiyo chuo soko ni kubwa sana,subiri amalize unaweza tafutwa wewe kama shilingi ya mkoloni,.
Pole ee[emoji23]
Ooh karibu , mm ni mdada wa chuo ndioNawe wa chuo mkuu...
Na mpango wa kujiunga mwakani nami chuo. Nikubalie basi nitoe nuksi mkuu wangu.
Oouh..asante.Ooh karibu , mm ni mdada wa chuo ndio
Nikukubalie nn Mkuu ?Oouh..asante.
Soma sentensi ya mwisho tena haukuisoma.
Kutafutaje D..?Ulitafutq hivyo mu?
Mapenzi ya chuo chuo....Nikukubalie nn Mkuu ?
Ulitafuta kama shilingi ya mkoloni.Kutafutaje D..?
OohMapenzi ya chuo chuo....
Ndiyo maana sijawahi kupata mpenzi wa chuo...huwa naambulia majibu ya hivi.
Anza kuwekeza kwangu jamani naanza chuo mwezi wa tisa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumiliki sista du wa chuo ni sawa na kumiliki VX V8...lazma uwe vizuri maana deile unakata pochi nene.
Sasa kama umezoea videmu vya mtaani level za passo mafuta ya 10,000 unamaliza mji kaa kwa kutulia babaali.[emoji38][emoji38][emoji38]
😆hell noUlitafuta kama shilingi ya mkoloni.
Chuo gani mwezi wa 9 unaenda kufanya sup?Anza kuwekeza kwangu jamani naanza chuo mwezi wa tisa[emoji23][emoji23]
Huko mtaani kwenu hawapo wanachuo ?Ndiyo maana sijawahi kupata mpenzi wa chuo...huwa naambulia majibu ya hivi.
Hawapo mkuu wengi wanachunga mbalelo tu.Huko mtaani kwenu hawapo wanachuo ?
Ooh kwenu ni ni jamii ya ufugaji mkuuHawapo mkuu wengi wanachunga mbalelo tu.
Nikikupeleka kwetu wewe ndiye utakayekuwa unawasimamia wakamuaji wote.