Wadada usafi siyo usoni tu na kuvaa nguo Safi. Ninyi ni maua na vivutio kwetu, hebu fanyeni usafi kwenye maeneo yenu ya wazi

ryana fan

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
2,632
3,051
Habari za asubuhi Wakuu. Bila ya kupoteza wakati nijikite kwenye mada tajwa hapo juu.

Ni asubuhi iliyonjema kabisa kila mmoja wetu akiwa na pirikapirika yake ya kujitafutia riziki ya kila siku.
Katika harakati zangu ya hapa na pale nimepanda public transport kutoka Ubungo kuelekea tegeta. Mara binti mmoja mrembo kapanda gari kituo kimoja hapo maeneo ya mlimani city.

Ameva vizuri kwakweli hata kwa uzuri nimempa credit kwa kweli. Lakini nilichokiona kina Tia kinyaa Tena kinyaa kweli kweli. Huyu binti mrembo baada ya kupanda gari akanyosha mikono juu kwa ajili ya kushika bomba Kama kawa aiseee.

Kwenye kwapa imevunda Kama siyo kuchacha. Nywele zimebadilika kutoka rangi nyeusi kuwa rangi nyeupe Tena zimegandana kweli kweli.

Je Kama huyu hata kwapa hanyowi ama hasafishi vipi kuhusu papuchi yake ama general hygiene yake kwa ujumla?

Kina Dada usafi siyo usoni tu na kuvaa nguo Safi. Tambueni ninyi ni maua na vivutio kwetu ebu fanyeni usafi kwenye maeneo yenu ya public.
 
Wengine tukionaga hizo nywele za kwapani mzuka unatupanda mkuu. Tena hapo nisingeondoka bila namba ya simu.
 
Habari za asubuhi Wakuu. Bila ya kupoteza wakati nijikite kwenye mada tajwa hapo juu.

Ni asubuhi iliyonjema kabisa kila mmoja wetu akiwa na pirikapirika yake ya kujitafutia riziki ya kila siku.
Katika harakati zangu ya hapa na pale nimepanda public transport kutoka Ubungo kuelekea tegeta. Mara binti mmoja mrembo kapanda gari kituo kimoja hapo maeneo ya mlimani city.

Ameva vizuri kwakweli hata kwa uzuri nimempa credit kwa kweli. Lakini nilichokiona kina Tia kinyaa Tena kinyaa kweli kweli. Huyu binti mrembo baada ya kupanda gari akanyosha mikono juu kwa ajili ya kushika bomba Kama kawa aiseee.

Kwenye kwapa imevunda Kama siyo kuchacha. Nywele zimebadilika kutoka rangi nyeusi kuwa rangi nyeupe Tena zimegandana kweli kweli.

Je Kama huyu hata kwapa hanyowi ama hasafishi vipi kuhusu papuchi yake ama general hygiene yake kwa ujumla?

Kina Dada usafi siyo usoni tu na kuvaa nguo Safi. Tambueni ninyi ni maua na vivutio kwetu ebu fanyeni usafi kwenye maeneo yenu ya public.
Ilipaswa umwambie huyo dada kuliko kumteta huku.
 
Back
Top Bottom