unaweza kutanana na aliye feki mwili mzima kichwani ana kipara chogo mundu na komwe kavaa wigi,usoni kachonga nyusi kazichorea lami,kavaa kope bandia kazipaka mirangi rangi,katoboa sikio matundu kama net,pua imetobolewa,ulimi na mdomo pia ajivishe machumaa anapaka marangi rangi utafikir zombi mnywa damu,anamalizia kwa kupaka lipbam na lipstick juu,foundation lotion cream inakua ka mask usoni,shingoni cheni ukishuka kidogo maziwa kapiga jek,kitovuni na kunako ikulu kaweka kidani,mabegan mgongoni na mapajani kachora tattoo,mguuni kavaa vikuku na kucha bandia,tukimalizia mkononi kucha bandia bangili na mipete ya ajabu ajabu kila kidole kukamilisha ujini wake mwanaume akikutana nae akivitoa vyote unabaki ka mzimu ulofufuka wenye kiu na damu,kuna urembo ila msizidi bhana fake hadi mnakera nani akupende utaishia kutamaniwa ukachezewa na kuachwa huku ukilaumu wanaume,at least be really