Wadada ujasiri huu mmetoa wapi?

Wadada ujasiri huu mmetoa wapi?

Junior. Cux

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
5,319
Reaction score
3,797
Wadau labda tusaidiane kidogo katika hili, NIlikua nikiudhuria sherehe za harusi hapo zamani, hukawii kushikwa na huruma jinsi wadada wanaoolewa wakitokwa na machozi kama watoto wadogo, walikua wanalia kuanzia siku ya sendoff mpaka harusi yenyewe unakuta mdada anabadilishiwa leso tu kwa machozi yanayomtoka tulikua tukiambiwa ni huzuni ya kuiacha familia yake na kwenda kwenye makazi mapya.

Sasa nimefikisha zaidi ya harusi 20 hivi karibuni, kila nikienda hamna cha chozi la bibi harusi wala nini yule maid analekebisha makeup tu wala haangaiki na macho unakuta bibi harusi jicho kavu kabisa na bado anakupa tabasamu la mwaka.

Ninini kimebadilika, mmepata wapi ujasiri huu tofauti na zaman.i

Jumapili njema .
 
si wanafurahia kuingia ndoani, kuzipata ndoa siku hizi imekuwa ishu
 
Sasa alie nini

Kwani kuolewa ni kufa????

Ukiona analia ujue anajua mumewe kimeo hivyo anatafakari maisha yatakavyomsulubu
 
Zamani mtu alikuwa analia maana anaiacha familia yake anayoipenda na anakoenda hakujui sawasawa....sasa siku hizi mtu mmeshaishi miaka mitatu mmepika na kupakua....mama mkwe na mawifi unawajua mpaka chumbani coz pale kwa wakwe ulipafanya kama kwako tu....ulie kwa lipi
 
hahahahaha, kaazi kwel kwel.
Hakuna jipya siku hizo sema kinachobadilika ni kwamba unakuwa unafanya lile tendo kihalali wakati zamani ulikuwa unapata dhambi.
 
Kulia kuna sababu zake, sio mtu analia kwa vile kaamua tu au kuiga wengine. Kulia unawapa watu hofu hata mumeo maana inaonesha umeingia kwa kulazimika hujafurahia.
Pia kulia unaharibu picha so hata kama inakulazimu ila unajitahidi kujifariji mwenyewe hiyo siku ipite kwa furaha.
 
Kuna rafiki kuanzia kitchenparty, sendoff hadi harusi ilikua ni kulia tu.
Walizaliwa 6, akafa mama yao, ndugu zake watatu, akafuatia baba yao na siku chache tu baada ya kutolewa mahari, familia zimeshaanza maandalizi akafa kaka yake kwa ajali. Wakabaki biharusi na mdogoake tu.
Sasa kwa mazingira hayo huwezi hata kujiuliza bibiharusi analia nini maana kile kilio kilikua cha kuambukizana na mdogoake na mamamdogo hiyo siku ya sendoff.
 
zaman walikuwa wanalia kweli! Sababu ni kwamba bibi harus alikuwa anafikiria maisha mapya anayoenda kuanza na mtu ambae hajawah kuish nae lakn sasa hv karibia wote wanaoolewa wanakuwa wanajuana tayari. Mtu amepanga chumba mchumba wake anakuja anakaa siku 2, ndugu wanamkuta nk. So huyo akiolewa hawez kulia maana ni kama anafanya formalities tu lakn alishaolewa toka mda huko awali
 
Zamani mtu alikuwa anaolewa bado ana bikira na ikawainasemekana katika process ya kutolewa bikra kuna maumivu makubwa na kingine ile aibu kuoneka anaenda kufanya mapenzi. Ila siku hizi kitoto cha darasa la nne kimeisha tolewa bikra.
 
Sasa alie nini

Kwani kuolewa ni kufa????

Ukiona analia ujue anajua mumewe kimeo hivyo anatafakari maisha yatakavyomsulubu

mbona zamani walikua wanalia, kwahiyo waume wa zamani walikua kimeo!?? au mabibi harusi wa sikuhizi ndo vimeo thats why hawalii
 
Kulia kuna sababu zake, sio mtu analia kwa vile kaamua tu au kuiga wengine. Kulia unawapa watu hofu hata mumeo maana inaonesha umeingia kwa kulazimika hujafurahia.
Pia kulia unaharibu picha so hata kama inakulazimu ila unajitahidi kujifariji mwenyewe hiyo siku ipite kwa furaha.

sio mara zote kunaharibu picha... zamani walilia na bado walitokea vizuri!!! nadhani ni ile hali ya wadada kuruka ruka sana kabla ya ndoa hivyo kuona hamna jipya ndani yake.. kama ni dushe kaishakula sana hamna cha kumuogopesha tofauti na zamani walikua wakiolewa wengi ni mabikra
 
Zamani ndoa iliaminishwa kama kitu cha kutisha...... hapo kuna wale waliolazimishwa ndoa...ndoa za kupangiwa nk

Sasa hivi uelewa mkubwa

mbona zamani walikua wanalia, kwahiyo waume wa zamani walikua kimeo!?? au mabibi harusi wa sikuhizi ndo vimeo thats why hawalii

Halafu utaliaje kwa kitu ambacho umekubali kuingia kwa hiari yako....ukizingatia washagegedana weeeee

Washamuvuzishana weeeeeeeee

Kuna jipya gani?

Unless mume kimeo
 
Ujasiri wanautoa kama hivyo kuhudhuria kwenye harusi nyingi za wenzao. Kuwa wapambe wa bibi harusi wakati wao bado hawajaolewa. Kuzoea ndugu, jamaa, marafiki, wazazi wa mume hata kabla ya kuolewa. Kuishi mapema na huyo bwana wake kabla ya ndoa yenyewe, unakuta mpaka wanakuja funga ndoa tayari walishaishi pamoja hata miaka mitano na wengine washazalishwa kabisa.
 
Kuna rafiki kuanzia kitchenparty, sendoff hadi harusi ilikua ni kulia tu.
Walizaliwa 6, akafa mama yao, ndugu zake watatu, akafuatia baba yao na siku chache tu baada ya kutolewa mahari, familia zimeshaanza maandalizi akafa kaka yake kwa ajali. Wakabaki biharusi na mdogoake tu.
Sasa kwa mazingira hayo huwezi hata kujiuliza bibiharusi analia nini maana kile kilio kilikua cha kuambukizana na mdogoake na mamamdogo hiyo siku ya sendoff.

hii hata mimi imenitoa machozi.......kwa kusoma tu na kutafakari hali halisi..........
 
Zamani mtu alikuwa analia maana anaiacha familia yake anayoipenda na anakoenda hakujui sawasawa....sasa siku hizi mtu mmeshaishi miaka mitatu mmepika na kupakua....mama mkwe na mawifi unawajua mpaka chumbani coz pale kwa wakwe ulipafanya kama kwako tu....ulie kwa lipi

Afu zamani kulikua na bikira, ke akivuta picha ya maumivu pale anajichomeka kidole kwa kujiswafi afu akilifikia dushe. mwee!

Sasa ivi mtu akiolewa anabonge la vongo! Yaani anawazia kuloeka dushe tu! teh teh teh! Chezea shake before use weyee.
 
siku hizi ma bibi harusi wengi ni kama wanaoa wao mahari amajitolea sherehe anagharamia hapo alie nn sasa hahha
 
Afu zamani kulikua na bikira, ke akivuta picha ya maumivu pale anajichomeka kidole kwa kujiswafi afu akilifikia dushe. mwee!

Sasa ivi mtu akiolewa anabonge la vongo! Yaani anawazia kuloeka dushe tu! teh teh teh! Chezea shake before use weyee.

Hahahaa mkuu kwamba walikuwa wanalia kutolewa bikra....sidhani
 
Back
Top Bottom