Nimepita tu jamani...Umeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman,
Handbags 20+ kuanzia Michael Kors, Calvin Klain, DKNY ec. Viatu pair 20+ kuanzia high heels, sandals, flats
Ni muumini wa da Mange kuwa utapata mwanaume mwenye pesa, anaejenga ghorofa Bagamoyo.
Unahitaji maombi uamke kutoka kwenye huo usingizi.
Tatizo wengi wapo mitaa ya Insta humu huwakutiUmeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman,
Handbags 20+ kuanzia Michael Kors, Calvin Klain, DKNY ec. Viatu pair 20+ kuanzia high heels, sandals, flats
Ni muumini wa da Mange kuwa utapata mwanaume mwenye pesa, anaejenga ghorofa Bagamoyo.
Unahitaji maombi uamke kutoka kwenye huo usingizi.
Hiyo miaka unapigana kuachana na maisha ya kwenye chumba. Hand bags tatu zinatosha, moja ya night out, moja ya kazini na mojavya kanisani. Ikiwezekana ya kazini na kanisani hiyo hiyo mpaka iharibike zipu.Kumbe tunatakiwa tuwe na nini ndani ya hiyo miaka mitatu ?
Kumbe tunatakiwa tuwe na nini ndani ya hiyo miaka mitatu ?
😂😂😂😂😂😂😂Leo weekend wameenda kudamshi ngoja warudi
Kujenga siwezi hata kudamshi???
Umeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman,