duhwewe umejuaje haya ikiwa wewe ni mtoto wa kike??
Kupitia kwa mashostwewe umejuaje haya ikiwa wewe ni mtoto wa kike??
Biashara nimatangazo kakaMie nadhan unaongelea wale walovunja ungo...sidhan km mwanamke na heshima yake akafanya haya[emoji4]..anywys huenda!
Wapo tu wengi mtaaniMie nadhan unaongelea wale walovunja ungo...sidhan km mwanamke na heshima yake akafanya haya[emoji4]..anywys huenda!
deh
Kwani mpaka leo ulikuwa haujaambiwa kuwa ninyi mkiwa katika umri fulani huwa mnarukwa akili?Unamkuta mdada ni mrembo tu,na ana vigezo vya kuitwa mrembo,na mwanaume yeyote anaweza kukutongoza popote ulipo lakini cha kushangaza loh!
Unamkuta mdada amejipodoa kapendeza na kavaa na kweli kawa beautiful lakini ,,inasikitisha anajipitisha kwa wanaume
Yaani kazi yake ni kutafuta walipo kaa wanaume vijiweni na kujipitisha mbele zao ,ooh! Asipoitwa na mwanaume yoyote anaenda anabadailisha nguo na staili mpya ya kutembea,anarudi tena na kafunga kanga kiunoni na kama huku nyuma kajaliwa atapita sana
Wanawake hatupaswi kutafuta ,wao watutafute
Yangu ni hayo tu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
D.D.D.D.D sikujua hiloKwani mpaka leo ulikuwa haujaambiwa kuwa ninyi mkiwa katika umri fulani huwa mnarukwa akili?