me nanuna hata siku tatu na yr cha moto anakipata akijua nimenuna anajua kasharibu.ingawa mgumu kuomba msamaha ila indirectly ataanza baby hivi baby kilipanda then tunadiscus nampa makavu yanaishaUmejaaliwa moyo shupavu sana mpendwa,mungu akubariki uendelee hivohivo,inamaana wewe rafiki hata ukerwe vipi unasamehe na kuendelea na maisha😕 laiti wanaadamu wote tungekuwa hivo,dunia hii ingekuwa pepo kwa kweli!!
Tena sa nyingine siongei, najilengesha lengesha tu
akikubali najua ugonvi kwisha
proud to be who I am....
Kuongea tu...lkn kwanza unamchunia kama masaa24
masaa 24 ni mengi sana kwa wapendanao
Hahahaha ww mangapi?
Mi nanuna hadi yaishe!!!
kama kaniuzi asubuh nahakikisha hadi anaporudi jioni hasira zinakuwa zimeisha kwaio hatuwezi kulala na maudhi ya mchana
Sasa naelewaMie nitakwambia ila saa nyingine nitanuna kidogo
Safi sana...hiyo ya kulala nmewaza mbali
umewaza nini tena Nokia83
Sasa ukilala bila maudhi mambo yanakuwa mazuuuri
tena sanaaaaaa
Hehehehe unaanza uchokozi na maneno yako
hakuna uchokozi hapo wewe tu na tafsiri yako