Hahaha trueWadada tafuteni mbegu nzuri,sio unatafuta mbegu kisa ana pesa alafu unapata mtoto mdogo ana sura ya kizee...
HahahahaUkisikia wadada/wakaka wanatelekeza watoto wao,hii inaweza kuwa sababu
Ndio hivyo mkuu,hakuna mtu anayetelekeza mtoto HB/beautiful hata siku moja ata kama anachangamoto kali za maisha.Hahahaha
Vipi mkuuAisee......
ha ha ha ukifuata ushauri wangu utazeekea nyumbani,tafuta mbegu yoyote mkuuHahaha true
Vipi mkuu
Hahaha hhahaa dah walimwengu bhana[emoji23][emoji23][emoji23]ha ha ha mtoto ndio yupi hapo?
Ukisikia wadada/wakaka wanatelekeza watoto wao,hii inaweza kuwa sababu
Unamjua mtoto wangu alivyo kaqute mpaka raha yaani.ha ha ha ukifuata ushauri wangu utazeekea nyumbani,tafuta mbegu yoyote mkuu
ha ha ha haHahaha hhahaa dah walimwengu bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
ha ha ha ha najua wewe ni shombe shombe wa kiarabu,hongera sana.Unamjua mtoto wangu alivyo kaqute mpaka raha yaani.
Inabidi tuwashawishi na mawe ya kutoshaKwema, hawa watu hawataki sisi wenye sura mbaya kuzaa....
Ndio hawa wanaoishi kwa shemeji zao ?Hii ni siredi ya kijana aliekata tamaa na maisha na hatak kutafuta pesa kabisa
ha ha ha ha hii itasaidia watoto kutokutupwa tupwa hovyoNdio hawa wanaoishi kwa shemeji zao ?
ha ha ha ha ukiona mtu anatoa mimba ya mtu,jua hajarizika na product iliyopo;ukiwa na product nzuri unatamani muda wote umbebe na unakuwa na ujasiri wa kusema huyu ni mtoto wanguNonsense... Mtoto atakula sura?