Wakishakuwa masingo maza wanatia huruma hatari, me yupo mmoja alinikimbia akatumbukia kwenye mikono ya wahuni,wakampiga mimba wakasepa kibarua kikaota nyasi, mtoto analea peke yake sometimes namwoneaga huruma but me siwezi rudiana na mtu ambaye alinikataa mwenyewe na akadunguluwa
I'm 90% sure kuwa huyo mdada hajajifunza lolote, anataka kutake advantage kwa mchizi, ni unafki tu uumemjaa huyo mdada,h ayo yashankuta so mm wanawake nawaelewa vizur sana atoto
I'm 90% sure kuwa huyo mdada hajajifunza lolote, anataka kutake advantage kwa mchizi, ni unafki tu uumemjaa huyo mdada,h ayo yashankuta so mm wanawake nawaelewa vizur sana atoto
kwani mm ndio pumziko la watu? aliponitenda hakujali kama nimeumia au la! leo ameumizwa sasa anafikiri i am concerning katika mauvimu yake. Aende zake huko akawatafute wengine!