Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Apoapo ulipomfikisha. Ulimuongelesha?????Hakuna sehemu nimesema, nimemfikisha kwao!
Mkuu umegusa mule mule... Ishanikuta kitu kama hii....and nli apply tha same tactics unazotumia. Mbna alinifata mwenyewe akaomba tuyamalize.....kuna namna ya kuwafunza adabu such people bila ya shari wala kurushiana maneno na waka kuheshimu. I really dislike such people....i really like when a woman akiwa mshkaj nd kama ni kitu hapendi anakuweka wazi and u have to respect it, life becomes really interesting and fun.
Unajua kiuhalisia, mtu hawezi akavutiwa na watu wote wanaomzunguka! Inawezekana huyu mdada katika nafsi yake, hanikubali kabisa, lakini kwa kuwa mimi na yeye hatujawahi kukutana popote pale kabla, na kwa vile tunakutana mara chache sana katika kazi zetu, angevumilia tu, kuliko kuonyesha wazi wazi hisia zake! Kwangu ni bora akantukana kwa sauti matusi yote anayoyajua, lakini sio kunidharau kwa namna anavonidharau huyu!
Sorry,eti wewe ni wakike au wakiume?
The Boss yupo sahihi, kwa kuwa watu hawa tunao katika jamii, na hatuwezi kuwakwepa, basi tutaishi nao kwa style ile ambayo mhusika anaweza!Dah mkuu ivi huwa unatumiaga muda mwingi kusoma vitabu vya mafundisho na article za hekimahekima maana daaaah, kila unapofumbua mdomo kuongea ni jiwe! Congratulation mkuu. Nipe siri ya hili.
..... alisema ameona papuchi nyyingi
namsubiria!
Ulitaka nimsemeshe nini kwa mfano? hakupanda gari ili tusemeshane, alipanda gari ili afike safari yake!
wewe slim5 j3 utupe majibu na bahati mbaya kama hayuko jf, wewe ni mwanaume akikushusha na kukupandisha mwambie ukiwa na sura ya kazi kuwa " nyodo zako staki" afu uondoke
namsubiria!
Umefanya vema, kuna baadhi ya wanawake sio wote lkn, wana akili ndogo kama soli ya kiatu kilichokwisha kinachovaliwa na masai alieacha kobasi vaa kobasi anaringia papuchi yake usikute inanuka kama ushuzi!! mpotezee bro alafu next time ikitokea mmebaki wawili mshushe kwenye gari mwambie namsubiri mke wangu kuna sehemu tunakwenda
mzee wa busara yule nature?!sawa mzee wa busara