Kila binadamu ana wema na ubaya wake katika kila jambo. Ni kama mtihani somo fulani unalimudu sana na jingine kiasi. Kuwa mwalimu wa maisha yako mwenyewe, jipime ujipe matokeo. Kama wema wa mumeo unazidi uovu, mvumilie, ila kama uovu ndio mwingi hakufai. Mwanamme anaekufanya ulie kila wakati huyo ni mume au bomu la machozi?