Wadada nijibuni hapa

prince22

Senior Member
Joined
May 8, 2015
Posts
188
Reaction score
217
Nyie wadada huwa nashindwa kuwaelewa kabisaa! ni kwanini mnatongozeka kirahisi sana kwa waume za watu, boyfriends wa mtu mwingine au players?

Utakuta ukifutwa na mtu ambaye hajaoa au hana mahusiano mnakuwa wakali na kuwaringia kwa maneno ya shombo. Ila mwishowe mnaanguka kwa waume za watu au players ile hali mnafahamu kabisa what is going on baadaye mnakuja kulizwa tu!

Amkeni nyie mtaishia kulia lia
 
kwa sababu vijana hamjui nafasi zenu kama wanaume.mara ya mwisho ni lini ulimpa mwanamke offer ya kitu chochote?
usiendekeze wala usipende kupewa pewa saaaaaaaana vi zawadi... wakati mwingine jifunze kutoa
 
Ila wanaume za watu wanajiongeza, sasa hivi vi bf vinaishia show off na ni umiza kichwa kabisa
 
Wanawake/wanaume wenyewe mafanikio au wanaojua mapenzi washachukuliwa... yani wana watu wao ndiyo maana wengine wanaamua kubanana hapo hapo...
 
Waume za watu wanajua kuhonga bana
 
mwanamke yoyote anapenda kupendwa kujaliwa na kuthaminiwa hilo kwa vijana halipo wao wanajua ngono tu na kupendwa wao sasa nani anajali maisha haya mambo hayo?
waume za watu wanajua kujiongeza
Kwahiyo ww una deal na waume za watu tu?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…