Wadada nifundisheni jinsi ya kutake care

Wadada nifundisheni jinsi ya kutake care

mawanjeni

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
40
Reaction score
7
jaman nimechoka kuachwa sasa hv karibun kuna jamaa kajileta anadai ananipenda kwel na anataka kutangaza ndoa kwangu sasa nielekezen plz nisiachwe tena nataman kwel hiyo ndoa
 
Mmm wanakuja magwiji, naomba nipite japo nidada
 
Kama una majivuno ya urembo punguza au uache kabisa, jione m2 wa kawaida tu. Punguza virungu (Oooh nataka gari, cm mpya, pocket money kila muda, chips, mavazi ya mashindano, expensive life like exp perfume, punguza outings, acha maisha ya kupretend mf kupenda expe places, etc) wanaume wengi hawapendi hii kitu. Pia angalia sn story zako zisiwe za kujikweza saaana na story za kumponda jamaa yako maana jamaaa atakuogopa kutangazia ndoa. Jifunze kupika make naona wadau wengi humu wanasema wadada wa siku hizi hamjui kupika, epukana na marafiki wengi na wabaya kwani wana ushauri mwingi wa kumkomoa mpenzi wako, hii haikusaidii wewe binafsi.

Kuwa serious na lyf kama Jay Dee achana na kubeba midori miiingi.
 
tatizo tunaweza kukwambia ubane pua kumbe mwenzio he is into besiz
WEWE JUST BE YOURSELF!
 
are you grown up to that much! kwamba hujui ku take care
 
cc Zahara white, @da sorphy
 
Last edited by a moderator:
jaman nimechoka kuachwa sasa hv karibun kuna jamaa kajileta anadai ananipenda kwel na anataka kutangaza ndoa kwangu sasa nielekezen plz nisiachwe tena nataman kwel hiyo ndoa

nijibu maswali haya kwanza. Umejuaje kwamba uliachwa sababu ya carelessness? Je,uliambiwa kuwa wewe huwezi kumtake care mwanaume au unajihisi tu?
 
Back
Top Bottom