mindpower
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 1,049
- 1,211
Hello wadada wa jF,
Nimependa kufahamu toka kwenu sababu za wa dada warembo, wazuri na wenye elmu zao na wengine na pesa zao kuchelewa kuolewa nakujkuta na umri mkubwa 27 mpaka 38 nini tatizo?
Ukitoa sababu ya:
1.Elimu ya chuo kuwachewesha
2.Mungu hajapanga
3.Wenye msimo ndoa sio lazma
Ni sababu zipi zinawachelewesha kuolewa pamoja na urembo wenu?
Kwa wanaume mnaojua baadhi ya tabia na matendo yao zitajeni tuzifahamu.
Mim mojawapo ninaijua ni ile tabia ya kuzoea sana kuchuna buzi wanaume.
Sababu nyingne ni ile mtoto wa kike kukulia malezi ya wazazi wake kutengana ndani ya ndoa.
Nisaidieni saikolojia yao iko vipi hawa watu?