Wadada, ni lini mliacha kufuma?

Ufumaji ni sehemu ya utamaduni na hutambulika kama stadi za kazi...

Kwa sasa unawaona wanawake hawafumi kwa kuwa utamaduni huo haujarithishwa kutoka kizazi A kwenda B na bila shaka zipo sababu kadha wa kadha...
 
Hata nYwele kusuka kina dada wengi hawafahamu na bila aibu wanaomba pesa tena nyingi kwenda mwenge kusuka wakati nywele kama za mabutu angejisuka mwenyewe
 
 
Hata nYwele kusuka kina dada wengi hawafahamu na bila aibu wanaomba pesa tena nyingi kwenda mwenge kusuka wakati nywele kama za mabutu angejisuka mwenyewe


We unasema kusuka mabutu! miguu na kucha pia wanaosha mwenge teh teh teh...
 
Halafu ukishafuma unapeleka wapi?

Hujui maisha yamebadilika??
 
Halafu ukishafuma unapeleka wapi?

Hujui maisha yamebadilika??

Mkuu walikuwa wanafuma kama hobby zaidi, wengi walifuma kwa matumizi yao, fani huwa haifi inabadilika na maisha nadhani, hiyo ni sehemu ya kwanza ya kupeleka; majumbani mwao.

sehemu ya pili:
nahisi hoja yako imelenga kibiashara zaidi. Nasikia vitu handmade huwa ghali zaidi, uliza bei ya picha za kuchorwa pale morogoro stores.

nasikia hata vitu kama viatu au mikanda e.g vya Italy ikiwa handmade ni bei mbaya zaidi.

kuna mdau hapo kasema ni stadi za kazi ambazo hazikurithishwa, nakubaliana naye.

nadhani wangeendelea leo wangeuza bidhaa china kama wao wanavyo tuuzia. virago, wachina nao si wanafuma?
 
Ule uzi unakata kucha sana bana.........tunanunua redi medi..........
 
 
Koroshea yangu nakumbuka nilimuazima [MENTION=29035]Husninyo[
/MENTION]........hakurudisha mpaka leo........

Nimejifunza msamiati mpya, koroshea. hii ndio sindano nadhani au?

haya Husninyo, koroshea ya watu?
 
 
Reactions: ram
U-busy wa kimaisha,pia vitu digitali madstv na simu wamwachie nani,by then upo na redio yenu mnasikiliza RTD(radio tanzania dsm) safiii mama anafuma hapo..
Nakumbuka wamama mtaani kwetu walikuwa wanapeana zawadi za mashuka hayo wanashona uzi kwa juu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…