Marhabaa
Nilijua fumanizi kumbe kufuma
Ingawa mimi si ke naweza jaribu kutia mchango wangu hapa
Kwa kweli ilikuwa kama utamaduni fulani mtu akiwa hata kibaruani akipata muda wa bure anautumia vizuri kwa kufuma
Karne hii ya sasa nafikiri teknolojia imeathiri kwa kiasi kikubwa, imewafanya kina mama wawe bize sana na tamthilia, simu za mikononi, mambo yao sijui FB, IST, WHATSAPP na mengineyo mengi
Swali zuri umenikamata sanamkuu mi nadhani kitu kikiwa hobby lazima utakipangia muda, huko kwenye mitandao si ndio wangeongeza ujuzi zaidi? au!
hahaa nilishindwa tangu zamani hiyo fani mwenziomwambie mama akufundishe, uendeleze fani.
Mama yangu hadi leo japo si sana kama zamani akiwa amepumzika utamkuta anafuma mkoba au mkekma.....lakini wa dada wa siku hizi au wamama wakipata mda wa kupumzika huwa mara nyingi wanautumia kwenye Facebook,Jf,Twitter watapata wapi mda wakufanya mambo kama hayo ni ngumu sana..zamani walikuwa hawataki mda wao ukapotea bure.
Kama alivyochangia Heaven on Earthmkuu mi nadhani kitu kikiwa hobby lazima utakipangia muda, huko kwenye mitandao si ndio wangeongeza ujuzi zaidi? au!
Swali zuri umenikamata sana
Sababu mitandaoni nako unakuta ujuzi unaongezeka zaidi unaweza ukaona madesigner mbali mbali na baadhi ya kazi zao zikakushawishi
Kweli umenibana, tuwasubiri kina mama nao waje na michango yao labda inaweza kutusaidia zaidi
Nakubaliana na wewe hata mm nimejifunza mambo mengi sana JF na sikumaanisha kuwa labda huko wanako kuwa nako busy hakuna wanacho kipata hapana....Namaanisha kwamba tunauzika utamaduni wetu japo kwenye hii mitandao ya kijamii kila mtu anajifunza kwa jinsi anavyojua mwenyewe...Naiheshimu sana JF mkuuHapo nyekundu naweza tetea mkuu, unajua unaweza jifunza vitu vingi, sababu kuna elimu kubwa sana hapa, pamoja na
wataalamu mbalimbali kuanzia WAPISHI, MAFUNDI, MADAKTARI , WAJASILIAMALI, WAFANYABIASHARA na mengineyo mengi yenye faida kubwa sana tofauti na kwenye hiyo mitandao ya jamii mingineyo
Ambayo ukichunguza kwa undani inakuwa inawachochea sana katika maswala ya kugegedana kwa asilimia kubwa
Kama alivyochangia Heaven on Earth
Alafu siku hizi hata aina ya viti sebuleni imebadilika maana zamani utakuta sebuleni kuna ofisi chair, stuli na kochi zile za mito ya kuhamishika lakini siku hizi unakuta kuna sofa ambalo jinsi lilivyo tu tayari lina mapambo halihitaji swaga zingine pia meza unakuta ya kioo imenakshiwa vizuri kabisa nayo haihitaji kitambaa kama zile meza zetu za ngoma.
Kwa sweta na a soksi nadhani kuna haja a kuendelea na zoezi maana sweta zilikuwa kiwango aisee
Ubarikiwe mkuu pamoja sanaNakubaliana na wewe hata mm nimejifunza mambo mengi sana JF na sikumaanisha kuwa labda huko wanako kuwa nako busy hakuna wanacho kipata hapana....Namaanisha kwamba tunauzika utamaduni wetu japo kwenye hii mitandao ya kijamii kila mtu anajifunza kwa jinsi anavyojua mwenyewe...Naiheshimu sana JF mkuu