Pole bwana ndiyo duniaInaniboa na ndo maana nkaja kulisemelea hapa jukwaani
Bora wewe huwa unatanguliza kukta miss chagga wanguPole bwana ndiyo dunia
Kama hilo
KWANI KUNA SHERIA INAKATAZA KUTEMBEA UMEDINDISHA MKUU?
Kwahiyo kwa uvaaji huo wa wanaume nao unawatamanisha nyie wanawake??Nyie mwavaa milegezo almaarufu kata k, boxa za tmk wanaume mnaacha nje.... Yani suruali ipo chini ya kalio mbona hamlalamikiwi?
Hakuna anaevunja sheria......
Sasa mnadhani sie hatuna mioyo eehKwahiyo kwa uvaaji huo wa wanaume nao unawatamanisha nyie wanawake??
Haya bhana, Nimelipenda sana jibu lako.Sasa mnadhani sie hatuna mioyo eeh