mcrounmj
JF-Expert Member
- Feb 26, 2016
- 380
- 889
Habari za muda huu wadau wa JF,
Jamani siku hizi kama siwaelewi wanawake hasa wadada, maana wamekuwa wahamasishaji wakuu wa mihemko ya wanaume kingono. Utamwona anatembea barabarani amekuvalia nguo chupi unaiona imejichora. Akiwa anatembea hilo wowowo linavyohamasisha hapo shasha! Jaman nyie wanawake, ama ndo kusema mpo mnapromot biznez, siyo poa maana sisi wanaume tunapata shida kujzuia adi inatubidi tuwatongoze tu maana hakuna namna.
Jitunzeni, mjiheshim mtaacha kutumika kama chombo cha starehe na badala yake mtaheshimika na kuolewa na watu na heshima zao. Mnasababisha wenyewe wanaume kuwatongoza na zaid mmekuwa mkiishia kutumia.
NB: hii ni kwa wanawake wasiojitambua ambao hawaheshim maumbile ya miili yao, karibuni kwa michango ila staki matusi kwani ni tunaelimishana na kuwekana sawa.