Habari zenu wanajamii? Naomba sifa au tabia za wadada wanaofanya biashara ya kununua nguo China na kuuza Hapa nyumbani
hazitofautiani sana na zile za wadada waliokuwa wananunua mashati ya juliana kutoka uganda na kuyaingiza kagera.
Humu ndio tunapotoa tunawauzia Huko na nyie mnanunua .kabla hamjanunua Kwangu au mtu
Mwingine hizi ndio websites based on Los Angeles ,NY na TX. www.alltimetrading.com,www.apparalelshowroom.com,www.clothingshowroom.com,www.offpricefashion.com,.Karibini compare the price .Msikonde
Hata kama watakukubali ujue bei ya kulala Doha tu ni aghali kabla hajabadili Ndege kuingia Ghuanzong
hutaweza mlipia usafiri wa mizigo kwenye container
msubiri tu Dar kama huna Doller au Gold
Mkuu huyo alijitoa muanga China wakikukamata wanakunyongaKuna moja nimeshuhudia akiingizwa pipi za kotosha kwenye tigo akapangishiwa frem eneo zuri tuu akapandishwa pipa kwenda china. Aliporudi karudi na kibegi cha nguo akanunua vitz. Siku hizi ndo kashakubuhu.
usikute unamzungumzia yule mwenye biashara yake sinza na ni mke wa mbunge fulani siku hizi!Kuna moja nimeshuhudia akiingizwa pipi za kotosha kwenye tigo akapangishiwa frem eneo zuri tuu akapandishwa pipa kwenda china. Aliporudi karudi na kibegi cha nguo akanunua vitz. Siku hizi ndo kashakubuhu.
Nayakumbuka mashati ya Juliana nifafanulie mkuu tafadhali
Kuna moja nimeshuhudia akiingizwa pipi za kotosha kwenye tigo akapangishiwa frem eneo zuri tuu akapandishwa pipa kwenda china. Aliporudi karudi na kibegi cha nguo akanunua vitz. Siku hizi ndo kashakubuhu.
Kuna moja nimeshuhudia akiingizwa pipi za kotosha kwenye tigo akapangishiwa frem eneo zuri tuu akapandishwa pipa kwenda china. Aliporudi karudi na kibegi cha nguo akanunua vitz. Siku hizi ndo kashakubuhu.
Mtaji mkuu lazima uwe na at least 10 mil shs kuanzia. Unafikiria machangu wanaweza labda profession hookersNaona michango ya wengi inasisitiza kuwa 'kujiuza' kwa wadada kunawezesha wao kupata mitaji ya biashara ya nguo China! Sasa mbona machangu bado wapo tele barabarani? Au wao bei zao za mafungu ndio maana hazilipi?
usikute unamzungumzia yule mwenye biashara yake sinza na ni mke wa mbunge fulani siku hizi!