Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 677
Inawezekana, me bado naendelea na uchunguzi...
Wadada wengi msimu huu wa kuelekea mwaka 2015 wamekuwa wakitumia picha hii na kwa utafiti niliofanya ni wale wenye majanga ya kuachwa achwa (vicheche) wanajisafisha kuelekea 2015
kwahiyo ndio kusema wanaandaa mazingira mazuri 2015?
Wadada wengi msimu huu wa kuelekea mwaka 2015 wamekuwa wakitumia picha hii na kwa utafiti niliofanya ni wale wenye majanga ya kuachwa achwa (vicheche) wanajisafisha kuelekea 2015
Habar ndo hiyo we chunguza profile za wadada wengi hivi sasa
......kweli nimeona kwenye profile za baadhi ya wadada,ila hadi wadada waliolewa nao wameweka.
Kwa hiyo usifikiri ni vicheche tu walioweka, hadi wenye ndoa wameweka.