Nakubaliana na wewe Daby...nadhani kwa kiasi fulani jamii ina mtazamo hasi kwamba mwanamke anatakiwa awe tegemezi. Lakini mzazi ana nafasi kubwa sana kuhakikisha mtoto wa kike analelewa akijua kwamba...nje ya mwanaume na ndoa mwanamke ana ndoto na malengo yake binafsi.haya mambo hayana formula...
ila wanawake wengi wanapokosea ni kuweka akilini hili suala la ndoto zao kuwa attached na mwanamme.
Mwanamke ukiwa na ndoto zako au maisha yako nje ya mwanamme huwezi kulialia.
lakini ni mifumo ya maisha yetu. walifundishwa mwanamke ataondoka kwao bila kitu atavikuta kwa mwanamme.
nilisoma mada ya espy nilimuelewa saana. unakuta mwanamke ana kazi nzuri ila hata kiwanja hana anajua mwanamme atakae mwoa atakuja na viwanja, magari n.k.
Nwei: wewe baba anza kumwaandaa mwanao wa kike awe hivyo kuanzia sasa.
Mkuu ukiwa kapuku na unataka kumiliki totoz kali, hawa watu ni ngumu kukuelewa. Cha muhimu ni kujitahidi kusaka mafanikio na kumtanguliza Mwenyezi zaidi
Tatizo ni utofauti wa kimtizamo kati ya wanaume na wanawake,ma paragraph ya kwanza yapili na ya tatu,
1 Mwanaume anayetaka kuoa anapicha kichwani mwake ya mwanamke atakaye mtia moyo ktk kutafuta maisha na kukubali mapungufu yake
2 Mwanamke anayetaka kuolewa anapicha kichwani mwake ya mwanaume aliyefanikiwa tayari kimaisha ndiye atakaye kubali kuolewa naye
3 Mwanamke analalamika haolewi kila anaye mpata anamtumia na kumuacha
Utofauti huu wa kimtizamo ndio maana mwanamke ni rahisi sana kumuamini mtu muongo atakaye muonyesha picha ya kuwa yeye tayari anamaisha mazuri lakini kiuharisia hakuna mwanaume mwenye maisha mazuri asiye na mke
Ili mwanamke aolewe na mwanaume, lazima mwanamke awe na mtizamo kama wa mwanaume.
Tunayo mifano mizuri mingi mno mfano rahisi ni huu.
Mwalimu wa shule ya msingi aliolewa miaka 40 iliyopita na mwanaume aliyekuwa akihangaika kupata maisha safi, mwanaume huyo now ni president na mwanamke huyo ni first lady,
Lakini ingekuwa ngumu kwa mwanaume huyo baada ya kufikia ndoto ya uraisi kumuoa mwalimu wa shule ya msingi
Huu ndio mtego ambao dada zetu wanatakiwa kuutegua
Mimi nimechangia na sio MeMbn wanaume ndo wachangiaji hapa?
haya mambo hayana formula...
ila wanawake wengi wanapokosea ni kuweka akilini hili suala la ndoto zao kuwa attached na mwanamme.
Mwanamke ukiwa na ndoto zako au maisha yako nje ya mwanamme huwezi kulialia.
lakini ni mifumo ya maisha yetu. walifundishwa mwanamke ataondoka kwao bila kitu atavikuta kwa mwanamme.
nilisoma mada ya espy nilimuelewa saana. unakuta mwanamke ana kazi nzuri ila hata kiwanja hana anajua mwanamme atakae mwoa atakuja na viwanja, magari n.k.
Nwei: wewe baba anza kumwaandaa mwanao wa kike awe hivyo kuanzia sasa.
KWENU WADADA
WADADA MNISAMEHE KIDOOOGO!
Samahani sana
Hakika ni kwamba Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye ndoto zao!
Ukweli mchungu ni kwamba wanawake hawawataki wanaume ambao bado wako safarini kuelekea ndoto zao! Wanataka waliokwisha fika, na bahati mbaya zaidi waliokwisha fika wako 'occupied !! Linalotokea ni nini?! Wanawake wanadhani wana bahati mbaya ?!
Unaweza kuwa unalalamika kuwa una mkosi WA kuolewa yaani kila mwanaume anakuja na ahadi nzuri, baadae anakuacha! Lakin upande mwingine huenda maamuzi yako ndiyo maumivu yako.
Kweli huenda we ni mtoto WA kike mzuri wa sura umbo na hata kila kitu ila umenyimwa hekima!, Mafanikio ya mwanaume kama mkokoteni, Mwanamke ukiyasukuma yanasonga mbele, hatakama maskin
Una mpaparikia kijana mtanashati kisa ana gari na kazii nzuri. Hana mvulana alie single niamini Mimi, Single lakin anamuwaza furani
Unamwona kijana anaeenda kumbi za usiku ndo mjanja..anae vaa suruali chini ya makalio ndo sahihi kwako lakini yule anaeenda ibada kila ijumaa au jumapili unamwona mruga ruga tu!
Una mpuuza Na kumdharau mtu 'A' kisa tu yeye ni kijana aliye soma ila hana ajira. Ama ni kijana ambae kipato chake hakizidi laki 2 kwa mwezi badala yake una mkumbatia mtu 'B' ambae ni baba fulani na ni mume WA Fulani kisa tu anapesa na shida zako zote anakutatulia...!!
SWALI!!
Utaolewa vipi ikiwa mpaka sasa unapenda toka na waume za watu au vijana wenye magari ya mikopo, au kijana yeyote ambaye unajua huna future naye? Au ndo unam'please ili asiache kukupa pesa!?
Nani atakae KUOA wakati vijana wanaotafuta mke wewe una wasema vibaya kuwa hawana hadhi ya kutembea na wewe kisa hawana misuli ya uchumi kwa muda huo?
Funguo ya NDOA utaipata wapi wakati hapo ulipo una mnunia mke wa mtu kisa una toka na mume wake?
DADA maisha yanabadilika mwanaume mpiga debe wa Leo kesho unaweza mbadilisha akawa dereva kisha akamiliki gari lake...hakuna MTU aliye zaliwa kuwa masikini ndo maana juhudi zinahitajika.....
Mwanaume anae tumia pesa kukufanya uwe wake anafanya hivyo kwa wengi ila usijifanye hujui kisa unafaidika jua muda unaenda.
....hatuna muda..
haya mambo hayana formula...
ila wanawake wengi wanapokosea ni kuweka akilini hili suala la ndoto zao kuwa attached na mwanamme.
Mwanamke ukiwa na ndoto zako au maisha yako nje ya mwanamme huwezi kulialia.
lakini ni mifumo ya maisha yetu. walifundishwa mwanamke ataondoka kwao bila kitu atavikuta kwa mwanamme.
nilisoma mada ya espy nilimuelewa saana. unakuta mwanamke ana kazi nzuri ila hata kiwanja hana anajua mwanamme atakae mwoa atakuja na viwanja, magari n.k.
Nwei: wewe baba anza kumwaandaa mwanao wa kike awe hivyo kuanzia sasa.
Mmesema vizuri wakuu.Tatizo ni utofauti wa kimtizamo kati ya wanaume na wanawake,
Soma paragraph ya kwanza yapili na ya tatu,
1 Mwanaume anayetaka kuoa anapicha kichwani mwake ya mwanamke atakaye mtia moyo ktk kutafuta maisha na kukubali mapungufu yake
2 Mwanamke anayetaka kuolewa anapicha kichwani mwake ya mwanaume aliyefanikiwa tayari kimaisha ndiye atakaye kubali kuolewa naye
3 Mwanamke analalamika haolewi kila anaye mpata anamtumia na kumuacha
Utofauti huu wa kimtizamo ndio maana mwanamke ni rahisi sana kumuamini mtu muongo atakaye muonyesha picha ya kuwa yeye tayari anamaisha mazuri lakini kiuharisia hakuna mwanaume mwenye maisha mazuri asiye na mke
Ili mwanamke aolewe na mwanaume, lazima mwanamke awe na mtizamo kama wa mwanaume.
Tunayo mifano mizuri mingi mno mfano rahisi ni huu.
Mwalimu wa shule ya msingi aliolewa miaka 40 iliyopita na mwanaume aliyekuwa akihangaika kupata maisha safi, mwanaume huyo now ni president na mwanamke huyo ni first lady,
Lakini ingekuwa ngumu kwa mwanaume huyo baada ya kufikia ndoto ya uraisi kumuoa mwalimu wa shule ya msingi
Huu ndio mtego ambao dada zetu wanatakiwa kuutegua
Sadly ni kuwa wadada wengi wana mentality ya utegemezi. Hata kama wana kazi wanaamini lazima mwanaume afanye kitu which is right but kwa kaisi fulani.Ni kweli. Kitu kingine unadhani mwanaume atamjuaje mwanamke mwenye malengo bora katika familia. Bila kuona juhudi zake. Za yeye mwenyewe.
Ukumbuke pia. Katika maswala ya mahusiano..mtu yupo radhi a-pretend. Kuonesha tabia flani hivi. Ya kumfurahisha mwenzaa wake aonekane. Ni mtu mwenye malengo bora katika familia (ingawa hakuna aingiae katika mahusiano hakiwa hana malengo bora katika mustakhabari wa mahusiano yao)
Nadhani. Mwanamke ajiwekeee misingi yake yeye mwenyewe kuliko kumsubiri mwanaume wa kumuoa. Kwa hali kama ya sasa inahitaji ushirikiano baina ya wapenzi wawili... Haijarishi nyote mmeajiriwa au lah..
Kuishi maisha ya kumtegrmea mwanaume. Mwisho wa siku unadhalilika.
Mfano mdogo..
Kuna member wetu mmoja wa JF aliwahi anzisha thread. Ikisema kwa mshangaa.. Hivi ni halali mwanamke kumnunulia ped....
Akijaribu. Kulalamika mpaka hela ya kununua ped anaombwa..
Hii ni mojawapo ya madhara ya kuwa dependant ..
Mi nadhani wakiamua wanaweza.
Wasome alama za nyakati .
Binafsi sitaki hata sh kumi ya mwanaume