Wadada mnisamehe kidogo!

Yani nimependaa sana Huu ujumbe hapa kungekuwa na uwezo wa like zaidi ya moja Hakka ningekupa zaidi.., Huu ni ujumbe murua kwa wadada wenzangu/wanawake....
Mwenye kuelewa na aelewe mwenye hataki ayaache kama yalivyo
Mtoa Uzi unaonekana kidogo unaumri Fulani wa watu wenye Hekima na busara
..keep it up...
 
Mawazo kama haya jana nimemwambia mchumba wangu kuwa kama ataendelea na tabia ya kunichit kila muda itafika pahara nisimsamehe tena na moyo wangu ukisha geuka haurudi nyuma. Mimi napenda msichana mwenye kutambua thamani yake na mwenye mawazo ya kimaendeleo hata kwa mtaji wa 10000. Sio kila mda ninunulie gauni lile mara nipeleke kwenye chips.
 
Hawa watu tamaa inawaponza sana
 
safari ya mapenzi kitaan aziza anita Anne toka nanii anitukane et sna pozi sna money
watt hawapendi ukali hawapendi safari wanapenda asali maisha .......
 
Nilipokuwa nasoma shule nilimpata mwanaume hata nguo hna nilimsaidi mpaka akajitambua akasoma akapata mzungu na akaniacha mimi nasaga viatu.
Wanaume maskini ndio wanashida kuliko wenye nazo.
Kwa hiyo bora mtu apate mtu wa saizi yake .
Tu tena nyie wanaume walokole kerooo kuliko wavuta bangii.
Mnakero shida ukiwa nao nitabu tupu ukiolewa nao watoto wanachanganyikiwa hamtajielewa mnataka nini .
Yaani bora ule raha upewe kila kitu .
Uwachune wakuchune basii uolewe muda ukifika watu ni hovyo unaweza kuwa namtu mzima unadhani mnapanga maisha kumbe kachanganyikiwa.
So becareful sio unatusema huku nyie ndio mnatabu.
 
Ushagongewa mara ngapi ukasemehe?
 
Uko sawa, na sisi wanaume saa ingine tunayasababisha haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…