sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,069
Basi nikaribishe kwako..Akuuuu
Sikuji kwako kabisaaa jamanii!!
Basi nikaribishe kwako..Akuuuu
Sikuji kwako kabisaaa jamanii!!
Daaah...
Mimi ukiniita kwako sikujii, nakazia SIKUJII
Ebu jiongeze basi ndugu, kwani hujui mtoa mada kaweka chambo ili samaki wanase PM kwa kumiminika wakigombea nafasiDogo hamsini yote unampa Malaya ndio maana mnapigwa limbwata
Watu tunakula za buku jelo zipo za kumwaga tu kitaa
Hamsini dah!!! "
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwangu ama kwa wazazi wangu wewe mdaka chozi!Basi nikaribishe kwako..
Hahaha hahaha hahaha
Basi nitaanza kwa wazazi wako halafu nitakuja kwako!Kwangu ama kwa wazazi wangu wewe mdaka chozi!
Mimi nitakuita tumeet hapo Mliman city for supperDaaah...
Mimi ukiniita kwako sikujii, nakazia SIKUJII
Kwa wazazi wangu ndo kwetu banaBasi nitaanza kwa wazazi wako halafu nitakuja kwako!
Ndo wapi eti huko mkuu
Nashukuru sanaKwa wazazi wangu ndo kwetu bana
Karibu sana jamaniiNashukuru sana
Nitafika kwa wazazi wako
Ahsante sanaKaribu sana jamanii