😀😀😀Japo life ngumu lakini hii imekua too much...
Nilishangaa sana nilipoana njemba zipo na wadada warembo afu meza imetapakaa balimi yaani jumla ya balimi zote hata elfu kumi hazifiki,afu njemba zinakenua tu nakufurahi tu kweli?
Kwakweli sijaipenda,
Balimi si bia lkn....je wangekunywa banana?!
Mmh! Kweli dunia duara watu wamifunga mwenyewe ajadili pombe![emoji125] [emoji125] [emoji125] hii post naona inawahusu walevi.
Mtoa post bana....hivi hujui siku hizi wanakunywa hadi CHIBUKU???
kwani balimi inauzwa shiling ngapi?
ulitaka wanywe vinywaji vya aina gan
Mtoa post acha kuchunguza maisha ya watu....ukienda viwanja fata lililokupeleka hapo!! Nani kanywa nn na wapi havikuhusu!! Starehe popote na chochote kimpacho mtu furaha!!
Mtoa post acha kuchunguza maisha ya watu....ukienda viwanja fata lililokupeleka hapo!! Nani kanywa nn na wapi havikuhusu!! Starehe popote na chochote kimpacho mtu furaha!!
Wewe huo ni mtego anywe pombe laini anikimbie kitu balimi mwenyewe anakwambia basi kachukue chumba.Japo life ngumu lakini hii imekua too much
Nimezunguka viwanja vingi hii imenishtua sana.Yaani sikuizi wadada tena warembo kabisa wanafakamia balimi balaa.
Kiukweli mdada mrembo unatolewa out yaani unaishia kupigishwa balimi huku ni kujishusha thamani sana.
Ebu kunyweni pombe zenye hadhi na za heshima bana.Unakuta mdada mrembo walaini kabida anakata balimi,safari,konyagi bapa balaa
Nanyinyi vidume kama unamtoa out mdada mrembo halafu waleti yako haisomi bola upotezee tu
Nilishangaa sana nilipoana njema zipo na wadada warembo afu meza imetapakaa balimi yaani jumla ya balimi zote hata elfu kumi hazifiki,afu njema zinakenua tu nakufurahi tu kweli?
Kwakweli sijaipenda,
Usije mjini
Hiyo buku sio lengo wewe lengo ni yeye akanipe mamboBalimi,eagle,konyagi hizi ni pombe za kiume mkuu,ni bia kali sana afu kwa buku buku au buku jero,mtoto wa kike anathamani yake bana
Japo life ngumu lakini hii imekua too much
Nimezunguka viwanja vingi hii imenishtua sana.Yaani sikuizi wadada tena warembo kabisa wanafakamia balimi balaa.
Kiukweli mdada mrembo unatolewa out yaani unaishia kupigishwa balimi huku ni kujishusha thamani sana.
Ebu kunyweni pombe zenye hadhi na za heshima bana.Unakuta mdada mrembo walaini kabida anakata balimi,safari,konyagi bapa balaa
Nanyinyi vidume kama unamtoa out mdada mrembo halafu waleti yako haisomi bola upotezee tu
Nilishangaa sana nilipoana njema zipo na wadada warembo afu meza imetapakaa balimi yaani jumla ya balimi zote hata elfu kumi hazifiki,afu njema zinakenua tu nakufurahi tu kweli?
Kwakweli sijaipenda,
Usije mjini
WINE NAYO NI KILEVI TU KAMA HIVYO VINGINE TUPunguza ubahili mkuu,wanunulie hata wine mzee