Mkali_01
Senior Member
- May 13, 2015
- 166
- 117
Habari wana jamvi. Niende direct kwenye mada, ivi ni kwanini ukiwa na manzi ndani alafu mmelala wote ile umeamka asubuhi na umetimiza wajibu wako wa kupiga morning glory sasa wakati unataka utoke kitandani ujiandae kwa ajili ya kazini utaskia hubby usiende leo!! Kkhaa!!
Mimi apo ndo nachoka. Nisiende hizo hela za matumizi ntazipata wapi.?
Na hapo ukikosa hela mtu ananuna sasa mueleweke vipi?
Na je mkisemaga ivo mnamaanisha kweli mtu asiende au??
Mimi apo ndo nachoka. Nisiende hizo hela za matumizi ntazipata wapi.?
Na hapo ukikosa hela mtu ananuna sasa mueleweke vipi?
Na je mkisemaga ivo mnamaanisha kweli mtu asiende au??