Wadada mkitaka fedha mzifuate 'physically'

Wadada mkitaka fedha mzifuate 'physically'

Yani ungemuona hapa ana furaha isiyo na mfano . Mpaka hapa nilipo ni kwa jitihada zake za kipekee kwakweli sitochoka kuomba mungu ambariki

Cc; Smart911
Am super happy my love...[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji173] [emoji173] [emoji180] [emoji180] [emoji180] [emoji182] [emoji182] [emoji182] .. Kwa nini nisiwe na furaha na amani mahondaw wangu ana nafuu...


Ulizidiwa mpaka ukawa unakamulia ndimu mdomoni... Hahaha...
 
Hayo maneno yalikuwa ya wanaume, hata kuomba nako ni kazi kaka shemeji.
Sasa Dada shemej kwann ukiomba hutaki kuja kuchukua?????

Njoo uchukue tukukatie risit bwana

Twende sawa na Mh Dr J. Magufuli
 
Am super happy my love...[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji173] [emoji173] [emoji180] [emoji180] [emoji180] [emoji182] [emoji182] [emoji182] .. Kwa nini nisiwe na furaha na amani mahondaw wangu ana nafuu...


Ulizidiwa mpaka ukawa unakamulia ndimu mdomoni... Hahaha...
Umefanya kaz kubwa.....

Mtoto kapona.
 
Am super happy my love...[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji173] [emoji173] [emoji180] [emoji180] [emoji180] [emoji182] [emoji182] [emoji182] .. Kwa nini nisiwe na furaha na amani mahondaw wangu ana nafuu...


Ulizidiwa mpaka ukawa unakamulia ndimu mdomoni... Hahaha...

Tehteh ndimu lol umenikumbusha ila
Ssssssssssssshhhhhhhhhbhhhhhhhhhhhh

[HASHTAG]#Usimwambiemtu[/HASHTAG]
 
Tehteh ndimu lol umenikumbusha ila
Ssssssssssssshhhhhhhhhbhhhhhhhhhhhh

[HASHTAG]#Usimwambiemtu[/HASHTAG]
Hahaha... Ati waniomba ndimu unajisikia....??

I was like woow!! Are you u? Ukasema no not yet... I was like.. Ooh man, why not yet....

[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

# Wacha nifunge domo langu #
 
Hahaha... Ati waniomba ndimu unajisikia....??

I was like woow!! Are you u? Ukasema no not yet... I was like.. Ooh man, why not yet....

[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

# Wacha nifunge domo langu #


Tehtehteh Smart911 umeniwezaaaaaaa
Hapo sifurukutiiiiii
Sihemiiiiiiiiiii kwako nimefika sitaki tena mwingine lol
[HASHTAG]#bakinamimimimimi[/HASHTAG]
 
[Smart911, post: 20589572, member: 194588"]Na ukiumwa unavyokuwa muoga love.. Unavyolegea.... Kila mara unataka kukumbatiwa tu na kushikwa shikwa... Woyooooo...[/QUOTE]

Woyoooooooo
[HASHTAG]#bakinamimimimi[/HASHTAG]
 
Sasa Dada shemej kwann ukiomba hutaki kuja kuchukua?????

Njoo uchukue tukukatie risit bwana

Twende sawa na Mh Dr J. Magufuli
Hapana kuja siji, kwani ni kabati hilo mpaka nije kulibeba? Atume tu kwakweli.
 
Nenda ukapewe na risit

Acha kuogopa pesa yako
teh teh risit atume kwenye basi pesa itangulie mpesa

nyie hamtujui, ukiona mtu anataka utate pesa kwake ujue anataka kukula, sisi ni wajanja omba tu upendwe.
Mwanamke anaweza kuja yupo hoi maututi, ana fangas na UTI kari hapo kashaweka kule vile vidonge yuko hoi akudanganya weee pesa unatoa anasepa.

Hamtujui, aweza kata paja aweke damu kwenye pedi kumbe uongo mtupu pesa unatoa atasepa.

Inshort mwanamke kama hakupendi huna ujanja. Mm kama simpendi mwanaume ataona kila rangi.

Tuna phd bila certificate.
 
Back
Top Bottom