Bado sijatokaLeo hujatoka?!
Saa ngap unatoka nije kukagua pochi?Bado sijatoka
Wala usihofu muda ukifika nitakushtuaSaa ngap unatoka nije kukagua pochi?
Ukitoka pitia hapa 777Wala usihofu muda ukifika nitakushtua
OkUkitoka pitia hapa 777
Hehehehe eti ok
Mbona umefurahi?Hehehehe eti ok
Kuna mambo yanafurahisha hadi huruma.
Nimekaa na mdada hapa anahaha sio kidogo, kapigiwa simu na Bwana wake wakutane hapa sasa kawahi kufika bwana bado ndo kumwambia ale anywe chochote atakacho asihofu anakuja amsubiri atalipa.
Mdada kafanya kama alivyoambiwa tangu saa 6 hadi sasa hivi saa9 jamaa hajatokea na simu haipatikani, anahaha tumbo joto na mfukoni hana hata mia ya akiba, anahangaika kuwaomba ndugu na jamaa wamtumie hela.
Nyie wadada punguzeni kupenda kitonga, kama unaenda sehemu beba akiba lolote likikupata unalitatua, ngoja nione mwisho wake utakuwaje hapa.
Sikukuu Njema wapendwa wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kakuumbua...Mwanaume mbaya huyo.
Mpk sasa hivi hujaanza kujipodoa halaf unasema utatokaMbona umefurahi?
Wakubwa huwa hawatoki jua kali.Mpk sasa hivi hujaanza kujipodoa halaf unasema utatoka
Lkn by nw ungekuwa umeshaanza matayarisho...hata saloon hujaendaWakubwa huwa hawatoki jua kali.
Haahaa unajuaje!!? Pengine nachat niko saloon.....Lkn by nw ungekuwa umeshaanza matayarisho...hata saloon hujaenda
Ungekuwa unachat upo saloon i wud av known...Haahaa unajuaje!!? Pengine nachat niko saloon.....
Sio lazima ujue!!!!Ungekuwa unachat upo saloon i wud av known...
Tena naona unanichelewesha tu!!!Ungekuwa unachat upo saloon i wud av known...
Nakuchelewesha nn?!Tena naona unanichelewesha tu!!!