Wadada mje mjieleze niwaelewe

Vizuri sana kama upo poa my dear,mtoa maada anaanisha kuwa kwa nini wasicha huwa hawakubali pale wanapongozwa mpaka wazungushe kwanza!!!!Nanukuu

Okey!! Mwambie awe anatongoza huku amefungua wallet, hatopata usumbufu huo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…