Wadada mje mjieleze niwaelewe

Mkuu inavyoelekea yule bint wa mwanzo alikuwa hakupendi ww bali alikuwa anapenda misaada yako,pia mkuu inaelekea we bado limbuken wa mabinti,jaribu kuwazoea hao wapo tu.
 
socket nmependa kibwagizo chako "Matatizo ya hapa na pale" 😕😕😕
 
Last edited by a moderator:
Mademu wajanja huwa hawapendi kushobokewa sana na pia wanataka mtu anayejiamini asiesubiri assurance hata kama mwenyewe ashakupenda pia,hilo tu...Kwa story yako apo juu unaonesha ulimuonyesha udhaifu huyo binti wa kwanza kwamba umempenda sana kwa jinsi ambavyo umembembelezea akukubalie na ukawa unaulizia jibu kila saa akaanza kukuona wa ajabu...
Kilichomfanya arejee kwa kishindo ni baada ya we kuonyesha less interest ingawa ulishamwambia unamtaka,utashangaa kwa nini imekuwa hivyo ila ndio hao viumbe walivyo katika saikolojia ya mahusiano...
Sasa weka hili kichwani,siku nyingine uelewe hili ili kumpata demu yoyote mkali jiamini kwanza af mueleweshe vizuri juu ya nia yako,akishaelewa vizuri tu anza kutekeleza nia yako kwa vitendo...Usisubiri majibu!!! Wanawake wengi wa kileo hawatakupa jibu la moja kwa moja badala yake watakupa ushirikiano tu katika utekelezaji wa nia,Kinyume na hapo utasubiri sana upewe jibu huku unahonga au kupotezewa mda na wenzio wanapewa tu.
Huo ndio ushauri wangu kwako mkuu socket
 
Last edited by a moderator:
Tatizo na nyie wanaume tunashindwa kijua lama upo real au ndo walewale
Ndo mana tunashindwa kuelewana
Mapenzi kweel ni shida
Mpaka umjue mtu sahihi
Utapita na weeengi
 

bila shaka utakuwa umemaliza certificate tena teku,kwa uandish huu huwez kuandika hovyo kiasi hichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…