Wadada makwapa hayo

Sio wanawake tu hata nyinyi pia mnakera na kufuga manywele yenu tena mnanuka ile mbaya
 

Hahahahahaha kwel aiseeeee ishanitokea nilitaman kumwambia
 

Wengi wao usafi kwao ni mpaka mgombane,si wa mwili wake wala getoni kwake...full uchafu yani,ni vile tunawasitiri tu
 

Umeamkia ubavu gani leo?
 
Mwataka tubalansi kwani siye twauza nyama buchani hapa...
Wanaume wanajiachia wazi kwa kuwa wana misuli ya kuonyesha...
Sasa nyie mwajiacha wazi hiyo misuli yenyewe iko wapi kama si mwatuonyesha misharubu tu ile kama kibrashi cha chachandu...eboh!!

mmhhhh!!!! we rafiki weye...
kwahiyo shida ni kukaa wazi ama kuachia zile nyasiiiii!!!!!
Mbona wanaume wanatutisha na ivo vichaka kama msitu wa amazon sie tunavumilia tu...
Si bora hata waliojaribu kufyeka wakabaki na ukoko kuliko wanaume ambao wengi wao hawajui kama huo msitu uwa unafyekwa!!!!
 

Nikweli mjukuu umetisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…