Sure mkuu halafu wanajifanya masister duuh kumbe hawana lolote wachafu kuliko,halafu ukute pafyume yke imechanganyika na jasho hiyo smell sasa unaweza usile mzigo miezi 6.
Sio wote........
Kwapa lina mwaka mzima halijui harufu ya duoderant,mtu unapata wapi confiedence
za kushika bomba la daladala
Mwataka tubalansi kwani siye twauza nyama buchani hapa...
Wanaume wanajiachia wazi kwa kuwa wana misuli ya kuonyesha...
Sasa nyie mwajiacha wazi hiyo misuli yenyewe iko wapi kama si mwatuonyesha misharubu tu ile kama kibrashi cha chachandu...eboh!!
OKEY. tumesikia lakini michirizi ya kwapa haina shida kaka. asante kwa ushauri.
kibrash cha chachandu? Daah mkuu leo umeniacha hoi!!!
Mwataka tubalansi kwani siye twauza nyama buchani hapa...
Wanaume wanajiachia wazi kwa kuwa wana misuli ya kuonyesha...
Sasa nyie mwajiacha wazi hiyo misuli yenyewe iko wapi kama si mwatuonyesha misharubu tu ile kama kibrashi cha chachandu...eboh!!
Aisee umeua aisee, its a murder. Public murder. Mbavu zina tabu sometimesIla kuna makwapa jamani mengine sio siri yamekomaa...kama uvungu wa korodani...
Wadada hebu muwe mnayaficha basi...au sijui ule usugu na ule ukoko kama uchafu wa vocha husababishwa na yale mapochi huwa mnayakumbatia kutwa....!!!
Unamkuta mdada kavaa kitopu mkono wa kulia kashika bomba kwenye daladala, misharubu ya huko imejichomoza kama mimeno ya mamba...halafu mkono mwingine kashikilia simu anachonga umbea na shosti...hiyo harufu yake salaleeee
Mwataka tubalansi kwani siye twauza nyama buchani hapa...
Wanaume wanajiachia wazi kwa kuwa wana misuli ya kuonyesha...
Sasa nyie mwajiacha wazi hiyo misuli yenyewe iko wapi kama si mwatuonyesha misharubu tu ile kama kibrashi cha chachandu...eboh!!
Thubutuuu....eti sio wote kwani hao wengine ndio wana makwapa ya plastiki.
Tunzeni makwapa yenu kama mnavyotunza nonino zenu banaa....
Si kama mustachi za Kihindi...
Ila kuna makwapa jamani mengine sio siri yamekomaa...kama uvungu wa korodani...