matege2
Senior Member
- May 7, 2015
- 116
- 54
Hivi inakuwaje unamsifia mkeo anakatika sana kitandani halafu hazai ?
hahaaaaaaaa..kuzaa majaaliwa
Hivi inakuwaje unamsifia mkeo anakatika sana kitandani halafu hazai ?
mkuu nahisi akili zako zipo kwenye makalio yako yaan watu wanapoteza muda kusoma wewe unaandika uxenge tu....!!!!
jitambue bhana acha ujinga kijana....!!!!!!!!!!
ACHA KUPOTOSHA WADADA!!!!! kiuno uzungushaji wake kitandani na kwenye sebene ni tofauti!!!! Et waweke ndomboro....mtavuja jasho bila mafanikio yoyote! mwisho mvunje mbo za watu kuzichezea kimalaika band!!!
Mkuu kuna uhusiano kiasi japo c 100%. Ukipata hivi vi modal vya kwenye sebene ni hatare kwa bed. Japo si wote!
Kweli kabisa mkuu usemavyo. Mimi kuna kipindi niliopoa totoz club,aisee alikuwa anacheza na kukatika vzr sana. Sasa kufika ktk 6X6 hamna kitu kabisa. Nikahisi labda atakuwa amechoka. Next mgegedano hali ya ugogo ikawa vile vile. Haya mambo bwana ni juhudi,malezi na tamaduni za mwanamke husika.
huo uhusiano uliopo labda asilimia0 hadi10
Hamna, kubwa tu kama 30% to 40%.
Ni njia moja wapo ya kuongeza maujuzi ktk yale ulio nayo. Una kuwa mwepesi, pia pumzi inaongezeka na nyonga kwa binti zinakuwa kama spring.
Ebu jaribu ndani ya miezi 3 unipe mrejesho.
Basi wewe utakuwa ni gogo vivu bibie Valentina' :teeth::teeth::teeth:Mi kazi yangu kusoma gazeti tu. Ukimaliza unanimbia...
Mapenzi siku hizi hakuan kuna Mapenzi ya pesa ukiwa na Pesa utakatiwa kiuno na kila kitu ukitaka utafanyiwa. Wanawake wa siku hizi hawana Mapenzi wengi wao wana tafuta pesa.Kumekuwa na tabia ya wadada wa siku hizi kuwa Magogo (kushindwa kutumia nyonga zao vzr wawapo vitandani na wawapendao hasa wakati wa yale mambo yetu).
Demu unakuta amelala tu utadhani Samaki alie achwa nchi kavu na mawimbi ya bahari! Daah!!
Hayo makalio yenu ni mapambo tu barabarani, kule 6×6 ni nyonga basi! Poda weka mbali!
Hili tatizo ni kubwa sana kwa wadada/ wamama wanaotoka familia bora ukilinganisha na wa uswazi.
Unakuta akitembea 2KM barabarani akifika nyumbani lazima ameze Panaldo. Oooh nimechoka baby! Yaani mwili wooote una niuma jameni. Minyama uzembe tu!!
Utakuta demu anafahamu Movie zote za Kiphilipino, Kihindi, kinijeria na kibongo!
Mbwembwe kibao. Oooh I love Mr. X. Ooh I Love Kansime's hair style na blah blah kibao!
Nyimbo zote za Jux, Diamond, Alikiba, Linah, Baraka De Prince, nk lakini kupika hafahamu hata kidogo.
Haya dawa ya Ugogo ni binti au mwanamke kujifungia chumbani mwako. Weka CD hasa sebene za Kikongo (Awilo, Pepekale, Arusi mabele, Yondo Sister, nk achana na hawa wa juzi juzi akina Falliii Pupaa). Then kuwa na kioo kikubwa/ kabati ya kioo kikubwa , then anza kucheza huku ukijitizama unavyocheza).
Hakikisha unakuwa na nyimbo za midundo mbalimbali ili uwe unabadilisha style za kuviringa nyonga!!
Fanya hivi kwa miezi 3. MziziMkavu msaada wa dozi? Hakika kama mmeo yuko masomoni Ujerumani anaweza kukataa kuwa siyo mkewe anaemfahamu atakapo rejea!
Uwe tayari kujitetea asije kukuhisi vingine! Sema ukweli!
Daudi Mchambuzi una picha?
Nahuakika wengine mtaanza hili zoezi rasmi, kimya kimya!
Ukimaliza we sepa tu,mambo ya kubinuana kama samaki aise hapana
wanajifua kua madancer labda.....
1.kalia kigoda ukiwa mtupu zungusha kiuno huku ukizunguka kigoda hakikisha hakisogei mara5 bila kukosea
2.kalia kibao cha mbuzi kuna nazi huku ukizungusha nyonga pia hakikisha kakisogei wala kupiga kelele
3.lalia tumbo chini sakafuni zungusha kiuno
kwa kuanzia bana tumbo ndani then relax maungo yako style utabadilisha na mirindimo tofauti ubunifu wako ndani ya wiki tu ugogo utauepuka mwenyewe kwa raha za tendo!
Huo ushauri unawafaa sana wadada kutoka ule mkoa wenye mlima mrefu kuliko yote Africa.