Wadada leo mnisamehe kidogo

Ukweli mtupu
 
Elimu ni bure ..
Tiba ni bure .
wadada badilikeni ktk hili tamaa mbele mauti nyuma .. ukiiendekeza tamaa utaachiwa magonjwa ,msipende maisha ya mtelemko maana hamjui walipitia njia gani mpk wakapata maisha mazuri ... ushauri wangu someni ujumbe huu kwa makini ..
Jifunzeni na mlifanyie kazi..
 
Asanteh sana kwa ujumbe mzuri, tutaufanyia kazi
 
Huu ujumbe ni mzuri sana Bujibuji

Bila shaka kuna uvuvio wa Mungu katika ujumbe huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…