Wadada kwanini mnakuwa hivi?

Wadada kwanini mnakuwa hivi?

hii kitu ipo sana kwaio tuchukulieni ivo ivoooo
 
hawa watu mwalimu mwalimu wao n kipofu, Nilimtokea dem akanizungusha sana kama miez 3 nikapotezea, alikua na best wake nikatupa ndoana wiki haikuisha mtt kajaa, mapenzi yakapamba moto. alie niringia wivu ukampanda wakawa m2 na shost yake hawaongei, wadada kumbe mwapenda kwa nn mpaka mringe kwanza?
 
Kumbe wadada mnavyo2zungusha sana mna2enjoy jinsi 2navyolilia penzi lenu na mngependa 2fanye hivyo forever siyo??
 
Kumbe ladies mnavyo2zungusha sana mna2enjoy jinsi 2navyolilia penzi lenu na mngependa 2fanye hivyo forever siyo??
 
watakuwa walikuwa wanakupenda,wangekuwa hawakupendi wasingekasirika kukuona na mwingine.
kwanini walikukataa?inawezekana walifikiri ungeendelea kuwabembeleza au hawakuwa wanakupenda kweli lakini baada ya kukuona na mwingine feelings zika develop ghafla
 
hawa watu mwalimu mwalimu wao n kipofu, Nilimtokea dem akanizungusha sana kama miez 3 nikapotezea, alikua na best wake nikatupa ndoana wiki haikuisha mtt kajaa, mapenzi yakapamba moto. alie niringia wivu ukampanda wakawa m2 na shost yake hawaongei, wadada kumbe mwapenda kwa nn mpaka mringe kwanza?

inategemea na mazingira ya kufahamiana kwetu ndio yanayopelekea jibu litoke haraka au likawie,mfano tumeonana kwa mara ya kwanza kwenye certain occasion,sijui hata back ground yako,then unanitongoza,hata kama nimevutiwa na wewe kwa kiasi gani itanichukua muda kukukubali,tofauti na mtu ninae sali nae kanisa moja au nafanya nae ofice moja au nakaa nae mtaa mmoja naweza kumkubali haraka coz ni mtu ninaemfahamu kwa kiasi fulani
 
"Nisumbue sumbue, usinikubali haraka haraka mimi". So lazima mtoto wa kike udengue kidogo jamani, kubembelezwa raha eti. Sometimes mtu unaweza ukakubali mapema afu mwishowe ukaonekana maharage ya uyole.

Kingine bana hii mitongozo ya simu au nyuma ya keyboard haina mzuka eti, inabidi utie pozi ili ujue kama mtongozo ni real au coz wengine hawakawii kukwambia nilikuwa natania kwi kwi kwi. Raha mitongozo ya zamani jamani, ukimwaga tu sumu unapata jibu lako siku hiyo hiyo coz utaona tu vidole vinalambwa kama vina asali, miguu sasa utadhani inatambaliwa na jongoo full kuchezeshwaa hahaha, hapo unajua ni YES looh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom