What's..............................up!
Kuna wale wanaume wanaojifanya hawa-mind saaaana wanawake. Hata mtaani huwezi kuwakuta na ma-girl friend ovyo ovyo. Wengine wamejipachika ulokole. Wanaume walivyo na UCHU wa 'K' lakini wa aina hii ninaowaongelea, hata ukiwa naye kwenye mahusiano mara chache sana aongelee ngono. Huwa wanajifanya wana ustaarabu fulani hivi, kama hauko makini sana unaweza ukasema YES mwanaume si ndio huyu. Mara nyingi atajifanya yuko busy.
Nilichokuja kugundua wanaume wa aina hii wengi wao (SIO WOTE) EITHER huwa wanahitirafu kwenye viungo vyao vya uzazi kwa hiyo anaona aibu kuwatokea wanawake OR wanakuwa na uwezo mdoko wa KUDUU.
Girls be very careful, unaweza ukauziwa ng'ombe kwenye gunia. Sisemi kwamba nahalalisha ngono kabla ya ndoa ila habari ndio hii. Huu ni mtazamo wangu, unaweza usiwe sahihi. Je wewe unasemaje?

unalosema linaweza kuwa ukweli au lah lakini wengi wao huwa wanatafuta wanawake mtaa wa saba ili tu mtaani kwake aonekane mtu na heshima zake au kazishika amri za muumba hataki kutenda dhambi au
kuliwa papuchiMadameA wewe umeolewa? na kama bado, unategemea kula Papuchi kwanza au utasubiri mpaka ndoa?
ha ha ha!! tuna shake mpaka avimbe ndio tunapeleka posa.It's shake befoo yuzi kwa kwenda mbele, usubiri ndoa umekuwa bozooo?
Mkuu nimepokea taarifa, ni kuliwa Papuchi na sio kula Papuchi.kuliwa papuchi
MadameA Mbona hunijibu bhana?MadameA wewe umeolewa? na kama bado, unategemea kuliwa Papuchi kwanza au utasubiri mpaka ndoa?