Namjua Joseph mmoja mpole na mtulivu kupitiliza.Ni mmoja kati ya watu waliotulia hapa duniani.
Yupo mwingine, sijaona ubaya wake zaidi ya kujipenda.Inawezekana,lakini pia hata waliofanyiwa utafiti sio wote waliotoa majibu yakufanana lakini WENGI wao!Ningependa kujua kama kuna mwingine zaidi ya huyo MMOJA!
huu umbea sasa! Umechunguza pia kwanini wanabadilisha wadada kama nguo!? au kwanin wanadharau!? labda kuna sababu katika hilo jina.....lol
Huko kujipenda kupita kiasi unapima kwa kutumia nini?Okay,but huko kujipenda inategemea,kama ni kupita kiasi ni tatizo!
Namjua Joseph mmoja mpole na mtulivu kupitiliza.Ni mmoja kati ya watu waliotulia hapa duniani.
Kipimo ni kile anachokitenda!Matendo ndo ishu kubwa!