Wadada kuweni makini na hawa!!

Imefikia mahali tuanze kuzungumzia tabia za watu zinapotokea ili kama unaamua kufanya jambo au kuanzisha uhusiano ujue unachofanya.Maana malalamiko yamezidi kila siku huyu kamtenda huyu mara sijui nini!Kuna utafiti umefanyika maeneo tofauti duniani kuhusu watu wenye majina ya JOSEPH,watu hawa imethibitika kuwa na tabia kuu tatu,nazo ni;Kujipenda zaidi,dharau na zaidi hubadilisha wanawake kama nguo.Utafiti huo ulifanyika kwenye miji ya Soweto,J'burg,Dar es Salaam,Munich,Liverpool,New York na Alaska umeonesha kati ya kila watu kumi,watu nane mpaka tisa wamekuwa na tabia hizo.Sasa wadada mnatakiwa mjiulize mara mbili mtu mwenye jina hilo anapokuaproach,kama uko kwenye uhusiano na Joseph hebu kagua uhusiano wako.Kama huamini kagua akina Joseph unaowajua.Mimi nawafahamu wa5 wote wanafit hapo!

Hapo kwenye bold umenigusa kabisaaaaaaaaaaaa cos nshakutana na mkaka mmoja anaitwa Jose alikuwa na tabia hizo hizoooooo
 
He he he he, am a good actor sometimes
Lakini haya majanga hayendi kwenye miti
yanaenda kwa watu

Eiyer ! Unamuulizaje mtu swali la kiivo? Mpaka umemfanya Kongosho mate yamemjaa mdomoni ! Sijui mizikigugu Nimjuavyo alivyo fasta na makini angeshakujibu zamani, subiri akishatema atakujibu!
 
Nahisi jina lako halisi litakuwa Joseph...hapo juu umetaja tabia zako haswaaaaaaa...#Nimekushtukia :eyebrows:

Aah wapi!Umekosea mno,hebu kuwa na subira siku nikija na jila lingine nitakuPM ujue hilo ndo langu!Unatamani kujuaee!
 
Dahhhhh
tukianza hivi hakuna atakaye bakia.
Na uzuri wa jina hilo ( Joseph) ni upi?
maana naamini hakuna kibaya kisicho na kizuri
ndani yake...
 
Dahhhhh
tukianza hivi hakuna atakaye bakia.
Na uzuri wa jina hilo ( Joseph) ni upi?
maana naamini hakuna kibaya kisicho na kizuri
ndani yake...

Hawa wanaweza wakawa na uzuri maeneo mengine ya maisha lakini kwenye mahusiano ni "F"
 
Jina alihusiani, kwa hiyo unataka kuniambia ht mweshimiwa wa VINEGA anahusika?!!
 
haya weeee! sasa hao walokuanao inakuwaje? mnataka kuwatoa wenzenu matonge mdomoni,nadhani nitabia ya mtu tuu.
 
Anza na hapo kuwadadavua hawa(upate udokta na wewe)

1.Joseph Kabila
2.Joseph Haule(Professa Jay)
3.Joseph Mbilinyi(Sugu)
4.Joseph Shamba(pole kwa kuumwa mkuu)
 
Jina alihusiani, kwa hiyo unataka kuniambia ht mweshimiwa wa VINEGA anahusika?!!

Ndugu,majina yana nguvu kubwa linapokuja suala la tabia ya mtu,kama hujui jiulize yalipotoka majina!
 
Back
Top Bottom