Wadada, jifunzeni kuwa wasiri

Shangaa na wewe..

Af mbona naona maruweruwe humu..ki Avi changu nakiona kwa watu wote.
Hahaha mabadilikooo ya jf, kuna mtu alilalamika pia avatar yake anaiona kwa watu wote pia. Sikumbuki hata alijibiwaje, ntakutag nikiona ule uzi
 
Sielewi imekuwaje, but jf wamefanya mabadiliko, hope kuna some changes unaziona
Hizi changes zimenistua saana...hususan kule pm.
Khaa nkahis kuna mtu ameingia pm kwangu na kufukunyua...

Kumbe ni mabadiliko
 
Hizi changes zimenistua saana...hususan kule pm.
Khaa nkahis kuna mtu ameingia pm kwangu na kufukunyua...

Kumbe ni mabadiliko
Ahhaha me nilijkuta natafuta kitufe cha like PM, sio kwa ule muonekano
 

Mkuu hii tabia haina ujana wa siku hizi wala zamani....Mi nakaa na watu wazima sana na wadogo kuliko mimi....Naweza kukwambia hao watu wazima ndio wanaongoza kuonyesha picha za faragha na mabinti wadogo kama watoto wao na hao ndio vijana wa zamani,hawafai kabisa.

Trust me wazee wa siku hizi nao whatsapp imewaharibu wanarusha picha za ajabu huwezi amini,tena wana ma group yao kabisa ukiona wanachorusha huwezi amini kama ni watu over 50yrs huko.

Hii ni tabia binafsi tu na ulimbukeni ambao hata wazee watu wazima wanao.
 

Haya mambo yanahusu kupevuka zaidi akili....

umri unababk kuwa namba tuu
 
Teh teh..Douta hujui jinsi ya kuanza?..Ntakufundisha usijali
 
ha ha ha ha halafu akimaliza show off anaugulia ndani
 
Ningeshauri lianzishwe jukwaa la Wanawake humu JF ili mambo kama haya yafanyike humoo


Nanyi wadada kuweni wasili bhana mtu mmefanya mambo yenu huko then unakuja tangaza kwa shogayo , unataka uibiwe au

be smart bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…