"MATURITY"Nahisi wameambukizwa na wanaume wa siku hizi....unakuta kijana kapata faraga jana na dada mrembo ...ana mfotoa naikibidi anategesha video kesho yake ana onyesha kwa washirika wake na hata kushea namba ya simu ya mdada na bazazi wengine wakapite huko..
Sasa amongst audience wahabari hizo hata wadada wanakuwepo nahata kuchangia ukosoaji na usifiaji wa hiyo habari na picha.....na aibu ilivyopotea sikuhizi....ndio hao ulosema mleta mada.....ila nahisi ni season tu kama fadhion ..
..hii generation ya millenials ikifika age ya 40. Sidhani kama yatakuwepo yote haya....
Uzuri wa haya maisha kila generation huona wazazi wao ni washamba na kwahiyo kamwe ma teenager wamiaka 20 ijayo hawatafanya upuuzi wowote tunaushuhudia hivi sasa God forbid
Kweli kabisa"MATURITY"
Wapee wapeeee....!Afu wanawake tunajuaga kurushana roho jamani. Kuna mtu anaweza akakusimulia mambo yake Eg, boyfriend wake anavyomtreat kumbe muongo mkubwa. Ndo wale wanaojinunulia hadi zawadi afu anadanganya wenzie kanunuliwa na baby. Aonekane tu yeye ndo anapendwa sana, yeye ndo anaenjoy mapenzi sana mmh, akili kumkichwa. Unaanzaje kusimulia ulivyolala na mtu mmh? What for?
Hahha Nipo likizo bana, watajua wenyewe na mabalaa yako. Wakikua wataachaWapee wapeeee....!
30 yrs still bado anatoa siri? Labda akizeeka.Hahha Nipo likizo bana, watajua wenyewe na mabalaa yako. Wakikua wataacha
Nope kuna kukua kimwili, kiroho na kiakili ujue. So watakua tu kiakili siku moja30 yrs still bado anatoa siri? Labda akizeeka.
Au ndo ile inaitwa second maturity?Nope kuna kukua kimwili, kiroho na kiakili ujue. So watakua tu kiakili siku moja
Hata sijui inaitwaje kaka mtumishiAu ndo ile inaitwa second maturity?
Hahahaa haya bana,ntabadilika miesi ndio zenu hizo.. Ukishikwa ukashikika unataka kuwajulisha marafiki na ndugu wote.. Siku ukiachwa unaanza kulalamika! Mapenzi ni Jinsi Unavyoyapeleka na Kuyachukulia... Mngekuwa mnaFicha Siri kama Mnavyoficha nanihii zenu basi naamini mpaka leo tusingesikia Brenda au Luv kaibiwa bwana. Cha Ajabu Wengine wanahadithia mpaka Mikao waliowekwa
"MATURITY"
aisee kuna kimwonekano cha kijf kipya kwenye simu yangu kinanisumbua...hata ku quote inakuwa tabu kweli kweli....Wapee wapeeee....!
@habari ya hapa, bado unajihisi upweke? Unaamka na mistres kibao?Kuna dada mmoja yaaani yy kila akiona USO wangu ananihadhithia bwana wake kamfanyia sijui nn, yaaani mwanzo mwisho ni habari MTU wake, nikisema nichomeke story nyingine wapi anarudi pale pale, leo asubuhi kanituka ndo naamka na mistress kibao akaanza habari zake nilimfurumusha hajaamini macho yake
Afu wanawake tunajuaga kurushana roho jamani. Kuna mtu anaweza akakusimulia mambo yake Eg, boyfriend wake anavyomtreat kumbe muongo mkubwa. Ndo wale wanaojinunulia hadi zawadi afu anadanganya wenzie kanunuliwa na baby. Aonekane tu yeye ndo anapendwa sana, yeye ndo anaenjoy mapenzi sana mmh, akili kumkichwa. Unaanzaje kusimulia ulivyolala na mtu mmh? What for?
Hahaha mabadilikooo, , tutazoea tu mdogo mdogoaisee kuna kimwonekano cha kijf kipya kwenye simu yangu kinanisumbua...hata ku quote inakuwa tabu kweli kweli....
Mmh kuna watu wanajiweza, what for sasa?Teh,bado kuna ile tabia ya Ku screenshot conversation zao na watu wao na kutupostia ili tuone wanavyopendwa.