Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
Mtu humtaki ila pesa yake unaitaka.
Utakuja ingia kingi tu na utajuta.
Utakuja ingia kingi tu na utajuta.
Tena kisukuma cha ndani kbs.... Maswa au malampaka !!Ishhhhh......(kwa lafudhi ya kisukuma)
Au nsangamwalugeshaTena kisukuma cha ndani kbs.... Maswa au malampaka !!
Nimetokea nyambiti...Au nsangamwalugesha
Naomba milioni.[emoji16][emoji16]
Lord have mercy....
Kumbe jirani yangu, mie nyabulogoya ndio mitaa ya kujidaiNimetokea nyambiti...
Naomba milioni.
Jamaa ana mademu kibao,c Bora ubaki na mme wa mtu ambaye Hana usumbufu.Unakwepa mme wa mtu alaf unadate na jamaa ana madem kila mtaa
Ishhhh.. kwa Mzee PetroKumbe jirani yangu, mie nyabulogoya ndio mitaa ya kujidai
Enhee kwa Petero....😂😂😂Ishhhh.. kwa Mzee Petro
[emoji57][emoji57][emoji57]Disemba ndio huwa napoop milioni...
Mwezi huu bado poop inatoa buku mbili mbili...
[emoji125][emoji125][emoji125]
Unataa mwanaume bikila?Wadada tuliomuapia Mungu kwa jina lake hata itokee vipi hatutakaa kamwe kutembea na mume na mtu mkuje jameni.
Umekaa zako una stress za hela afu kuna mume wa mtu mtaa wajirani anaanza kukutext.... Mnachati weeeee anakuhoji maswali unajieleza shida zako ..... Afu baadae anakuambia kuhusu hela usiwaze uje sehemu ntakupatia million ya mtaji
Unaguna mhhh million hela?? Unampotezea
Mnaendelea kuchati day to day bila mafanikio
Siku moja unakuta text namba ipi inatumia mpesa? Jibu la kishujaa ii ninayotumia
Mala paap.......... JKB27LH mpesa imethibitishwa umpokea laki mbili kutoka kwa Fulani bin Fulani afu inafwata text njoo umalizie iliobaki. Nimejibu vzuri sana nakuja Sasa ivi ili asije hailisha muamala...
Kiukweli laki mbili nimeenda mpesa kuitoa fasta.... ila kwenda siendi na nimemla block...
Msimamo wetu ni ule ule hatutembei na waume za watu ila hela wakitum ni Mali ya laini yangu na ntaenda mpesa fasta kutoa
Hata tukizeeka bila kuolewa fresh tu kwanza siku izi wanolewa January wanaachana December
Hela tunakula ila hatuji ng'ooooooooooo
(Kama tulivokubaliana kwenye kikao chetu we date singles, divorced with papers na wagane tu. Hawa wengine ni kula hela zao tu)
😂😂Naomba milioni.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama nimekuelewa kuwa mbususu yako haiuzwi ila Kama mkielewana unatoa bure
Shishiyu mojaaa au tusogee sogee hadi ushirombo kule au mbogweAu nsangamwalugesha